Kwanini mara kadhaa alipo Rais Samia huambatana na Rostam Aziz?

Noma sana. Hapo utakuta yupo kwenye msafara wa Mama mpaka Norway. Na Norway wana kampuni ya Equinor iko bahari ya Mtwara Lindi wanachimba gesi, na wanataka kujenga LNG plant huko kusini. Utakuta na yeye anataka kuweka mkono kwenye mradi wa gesi ya LNG. Jamaa yuko veryvery strategic
 
Kama uliwahi kumsoma mtu anaitwa Carl Peters kwenye historia ya zama za Ukoloni basi unaweza kuelewa vyema kazi za Rostam Aziz.
Carl Peters na Rostam Aziz hawana tofauti yoyote, wako sawa kwa 100%. Tofauti ni zama tu. Wote walipewa majukumu ya kuingia mikataba ya kuvuna rasimali baina ya nchi maskini na tajiri.
 
Akili za kitoto kabisa..
Kwanza unajua hata umbali kutoka Perugia mpaka vatican?
Hoja hapa ilikuwa Mtu akiwa Vatican anaweza kwenda kufanya Shopping Roma?👈 tujikite hapo.

Mambo ya Perugia unaweza kugugo tu.
 
Hoja hapa ilikuwa Mtu akiwa Vatican anaweza kwenda kufanya Shopping Roma?👈 tujikite hapo.

Mambo ya Perugia unaweza kugugo tu.
Hahah Nagoogle na Map Location sio 🤣🤣..

Swala lilikuwa kaenda Vatican kufanya nini?
Ndo swala la muhimu na lililoko mezani
 
Tetesi zinasema Rostam ndio amechonga deal la mama kuweza kutua Vatican ili kuonana na Papa. Ni mama alikuwa anaitafuta hiyo fursa kwa hali na mali ili kutengeneza deal la kanisa katoliki kumbeba mama 2025 kwenye urais.
Kwa kuwa sote tunajua, presha iliyopo ndani ya system (lile genge la kututengenezea viongozi) ya kutaka kumuondoa mama 2025 ni kubwa kupita maelezo. Hivyo kila njia mbadala itakayoletwa mezani kwa mama inabidi aipokee tu.
 
Turudi kwenye HOJA👈
Hoja umeielewa ni ulisema kaenda vatican kufanya biashara nikakujibu kuwa Vatican sio nchi ya biashara na wala hakuna huduma za kibishara..
Kwahyo bado narudi pale pale..
Kaenda kufanya nini?
 
Hoja umeielewa ni ulisema kaenda vatican kufanya biashara nikakujibu kuwa Vatican sio nchi ya biashara na wala hakuna huduma za kibishara..
Kwahyo bado narudi pale pale..
Kaenda kufanya nini?
Nimesema LABDA👈anakwenda kufanya Shopping Rome.
 
Nimesema LABDA👈anakwenda kufanya Shopping Rome.
Hapa sasa ndo umemake sense ila shoppung gami ya kufanya Roma?
Kama alitaka Shopping si angeenda Paris?
Au Dubai?

Na mbona ameonekana Norway tena..
Na Mama sa100 naye tuko Norway pia leo..
Sasa hizo shopping huwa zinamfata mama Sa100 alipo
 
Hawa wazee wa CCM ebu wafe waishe kwanza wanaghasia sana katika nchi hii, ona kama huyo sasa🚮
🤣🤣🤣Tatizo hata wakifa tayari wanambegu chafu ambazo washaziacha. Makamba yupo makamba Jr Tena ambaye ni nyoko kuliko baba yake. Kikwete yupo kikwete Jr, so usitegemee kufa Kwa wazazi wao ndio unafuu utapatikana. Ili tuamke lazima life liwe ngumu sana ili hata wajinga waamke ili waweze kudai haki.
1 lakwanza lipo kwenye ajira tushaona japo bado maumivu bado hayajachoma mioyo coz bodaboda na bajaji zinasukumasukuma life
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…