GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wenye Dawa ya Kunisaidia GENTAMYCINE niache Kudadisi sana mambo Magumu, Mazito na ya Siri ( ndani kabisa ) nipeni tafadhali.
Nimeangalia Hotuba za Marais Nyerere, Mwinyi na Mkapa sijawahi kuona popote walipokuwa ' Wakihutubia ' walipatwa na Changamoto ya ' Kukohoa ' hata kidogo tu.
Nimeangalia Hotuba za Marais Kikwete, Magufuli na hata Samia na Kugundua kuwa kila ' Wakihutubia ' basi hupatwa mno na Changamoto ya ' Kukohoa ' tena sana tu.
Nimewaza mengi mno juu ya ' Kukohoa ' Kwao hivi na sijapata Majibu na badala yake imenilazimu tu ili kutoliwaza sana hili nitafute Wimbo wowote wa Congo DR ambao " Dally Kimoko " amelikung'uta vilivyo Gitaa lake zuri la Solo niburudike.