Kwanini Marais Nyerere, Mwinyi na Mkapa walikuwa hawakohoi Wakihutubia, kama ilivyo kwa Marais Kikwete, Magufuli na Samia?

Kama kawaida yetu waTZ, umekosa fikra, akili za kuchagua la kufanya, ukaona uandike kuhusu kukohoa kwa watu, kesho utakuja na kujikuna. Ndugu umekosa kazi, afadhali ukafanye mazoezi
Mbona ni kawaida duniani kote hasa marekani hebu fuatilia rais wa marekani anavyochambuliwa hadi anahesabiwa pumzi.
 
Genta wa siku hizi hana tofauti na vitoto vya fesibuku na mada zao za uchwara.
GENTAMYCINE amekulazimisha au hata Kukuomba uwe unamsoma hapa JamiiForums?

Mimi ndiyo " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " Mkuu sawa?
 
Mbona ni kawaida duniani kote hasa marekani hebu fuatilia rais wa marekani anavyochambuliwa hadi anahesabiwa pumzi.
Fools kama huyo ( hao ) hawatokuelewa Mkuu. Wapo wengi sana katika Uzi wangu huu na wala hawajajua Meseji Kuntu ambayo nimeiweka katika huu Uzi na ambao nimeifumba ila najua Werevu wachache wameshanielewa.
 

Hapo kwenye dalikimoko na ngouma lokito mkuu una hatari [emoji1][emoji1]
 
Hapo kwenye dalilimoko mkuu una hatari [emoji1][emoji1]
Na Msisitizo wangu mkubwa ambao nimeufumba upo hapo hapo katika hilo Gitaa la Solo la Dally Kimoko ambalo Wanaokohoa nahisi wanalicheza mno tu.
 
Hawakuwa na kikohozi. Hata hapa mtaani kwangu kuna wenye kikohozi na wasionacho.
 
Sijawahi kuona game changer na charismatic fella utopolo kama huyu.
Genta kubwa jinga.
Halafu ni kwanini hapa JamiiForums kila Member ana Signature yake ila yangu GENTAMYCINE inawatesa na kuwakera sana? Je, mlinisadia katika Kuibuni na kuja nayo hapa JamiiForums tokea nijiunge mwaka 2013?
 
Hawakuwa na kikohozi. Hata hapa mtaani kwangu kuna wenye kikohozi na wasionacho.
Inasemekana Wanaokohoa wanacheza mno Gitaa zuri la Solo la Dally Kimoko Mkuu wengi wao tokea miaka 15 iliyopita na Mmoja wao miaka 10 iliyopita.
 
Inasemekana Wanaokohoa wanacheza mno Gitaa zuri la Solo la Dally Kimoko Mkuu wengi wao tokea miaka 15 iliyopita na Mmoja wao miaka 10 iliyopita.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]popoma mnakunaku na mfukunyuku
 
Hawa kuwa na zile full coverage za media hivyo sio rahis kuona mambo mengine Ila ni kitendo cha kawaida sana


Kuna siku mtasema hawaendi chooni kwa kuwa hakuna ambaye camera iliwahmfata huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…