Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Sijui ni Nani nimuagize na iPhone 13 Mana huko ni kitu Kama 2.34M i.e 1k USD nikiileta hapa nauza 1500 usdSasa wengine Ni kama wameenda kutalii tu. Kuna mipango gani hapo UN ya kuendeleza Nchi yetu. Kama mipango ya maendeleo tusipoipanga kupitia Bunge na Mabaraza ya madiwani tusitarajie hivyo vikao kuna na lolote. Nionavyo mimi wengine wameenda kutalii na kufanya Shopping. Ujinga kama huu ndo aliukataa Magufuli.