Kwanini Marais wa Kiafrika hawathaminiwi wakienda Nchi za Ulaya?

Bado Picha kuwa Sisi ni Manyani na Masokwe haijawatoka Wazungu wengi Akilini ( Ubongoni mwao ) hivyo tukienda wanahisi Sisi ni nusu Watu na Nusu hao Wanyama.

Halafu Mzungu atakuthamini vipi wakati 85% tu ya Bajeti yako ni Nguvu yao ya Kimsaada unayowaomba Kutwa huku hata Kutengeneza tu Chupi zako Wananchi wavae hujaweza na unavaa za Mtumba walizozivaa na Kuzitupa Dampo?

Na Mzungu huwa hamthamini Kilaza.
Pia mzungu hawezi kukuthamini wakati unapomfanya role model wako Kagame na nchi yake ndiye mfano wa kuigwa.
 
Leo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, Kilicho nisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji. Hamna Mmarekani Anaye Jali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao, Hata viongozi Wa Kiserikali Wa Marekani Nao Pia Hawa Time! Yaani Watanzania Wanaoishi Marekani Ndio walio Jitokeza Kumpokea Rais Wa JMT.

Shida ni Nini? Ni sisi Ambao huwa Tunakuza Mapokezi Au Hawa Jamaa ni Wabaguzi? Haiwezekani Rais Akiwa anatoka Ulaya Akija Huku anapokelewa Na Rais Wa JMT tena Kwa Bashasha Lote na Wananchi Kibao na Ngoma Zinapigwa Airpot Hadi Ikulu kwa Msafara Mzitoo na Barabara zinafungwa, Lakini Rais Wetu Akienda Kwao Wanamuona As If Hamna Chochote inauma Sanaaa.

Je, Hii ni Ishara Ya Ubaguzi? Kwanini Marais Wa Kiafrica Hawathaminiwi Wakienda Nchi za Ulaya?
Tatizo lako ni kutokufuatilia na kuyajua mambo yalivyo duniani, marais waliokwenda huko ni wengi ingawaje wewe unajua ni Samia tu, kubwa zaidi huyo Samia unayemtetea wewe si mgeni wa serikali ya marekani na haihusiki kwakua yeye ni mgeni wa UN. Jukumu la kuwapokea marais si la Biden kama mlivyoaminishana kwenye ubishi wenu wa Simba na Yanga kwamba anafanya ziara ya marekani! Rais wa Burundi, wa Zambia na nchi nyingine wamekwenda huko pia, kama unaona rais Samia amebaguliwa ishauri serikali ifunge ubalozi UN, nikufahamishe tu balozi wetu UN hahusiani na ofisi ya balozi wetu Marekani, shughuri zao tofauti.
Ushauri, kabla ya kulalama jifunze historia na chanzo cha UN iliyotokana na LN iliyokuwa na makao Uswizi kisha UNO.
 
Sasa wengine Ni kama wameenda kutalii tu. Kuna mipango gani hapo UN ya kuendeleza Nchi yetu. Kama mipango ya maendeleo tusipoipanga kupitia Bunge na Mabaraza ya madiwani tusitarajie hivyo vikao kuna na lolote. Nionavyo mimi wengine wameenda kutalii na kufanya Shopping. Ujinga kama huu ndo aliukataa Magufuli.
UN ni zaidi ya baraza kuu, UN inamashirika mengi sana ambayo yanatupa msaada tukiwa wanachama, inaekekea shule hamfundishwi umuhimu wa UN na hamuulizi kwanini Nyerere alikwenda huko kudai uhuru na si uingereza.
Wengi wanaochangia mada hii wanaonesha hawaijui UN wanadhani ni ya serikali ya marekani!
 
Shughuli za UN hazina uhusiano na serikali ya US, kama akiwa na mualiko wa WH hapo utaona mbwembwe kidogo, sio kama za huku kwetu though
 
Mwenyeji wqke ni UN .....hawezi kupokelewa na Govt of US sababu sio mwaliko wao...ingawa anaweza kuomba kuonana na Joe B...Ikulu kwake pia watakutana mkutano UN
 
Leo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, Kilicho nisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji. Hamna Mmarekani Anaye Jali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao, Hata viongozi Wa Kiserikali Wa Marekani Nao Pia Hawa Time! Yaani Watanzania Wanaoishi Marekani Ndio walio Jitokeza Kumpokea Rais Wa JMT.

Shida ni Nini? Ni sisi Ambao huwa Tunakuza Mapokezi Au Hawa Jamaa ni Wabaguzi? Haiwezekani Rais Akiwa anatoka Ulaya Akija Huku anapokelewa Na Rais Wa JMT tena Kwa Bashasha Lote na Wananchi Kibao na Ngoma Zinapigwa Airpot Hadi Ikulu kwa Msafara Mzitoo na Barabara zinafungwa, Lakini Rais Wetu Akienda Kwao Wanamuona As If Hamna Chochote inauma Sanaaa.

Je, Hii ni Ishara Ya Ubaguzi? Kwanini Marais Wa Kiafrica Hawathaminiwi Wakienda Nchi za Ulaya?
Amepokelewa na mtukanaji wa Taifa Mange Kimambi
 
Ikitokea na wao wakaja kwetu wakapokelewe na kina mkandamizaji tu it's just ngoma droo
 
Mi ningependa kujua ameenda na ndege ipi? dreamliner? Naona this time wamefanya siri...
 
Leo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, Kilicho nisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji. Hamna Mmarekani Anaye Jali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao, Hata viongozi Wa Kiserikali Wa Marekani Nao Pia Hawa Time! Yaani Watanzania Wanaoishi Marekani Ndio walio Jitokeza Kumpokea Rais Wa JMT.

Shida ni Nini? Ni sisi Ambao huwa Tunakuza Mapokezi Au Hawa Jamaa ni Wabaguzi? Haiwezekani Rais Akiwa anatoka Ulaya Akija Huku anapokelewa Na Rais Wa JMT tena Kwa Bashasha Lote na Wananchi Kibao na Ngoma Zinapigwa Airpot Hadi Ikulu kwa Msafara Mzitoo na Barabara zinafungwa, Lakini Rais Wetu Akienda Kwao Wanamuona As If Hamna Chochote inauma Sanaaa.

Je, Hii ni Ishara Ya Ubaguzi? Kwanini Marais Wa Kiafrica Hawathaminiwi Wakienda Nchi za Ulaya?
Tujithamini sis kwanza
 
Tofautisha Raisi kutoka nchi za Afrika(ukiacha Afrika kusini,Misri,)na Raisi kutoka India,Pakistan,Korea,Japan,
Sie hatuna kitu,wanatujua,wametuzoea kama OMBA OMBA,
Hakuna Cha upekee wanachosikia kutoka kwetu kwenye kila nyanja ya maswala,Uchumi,sayansi,diplomasia,nk,zaidi wanasikia vita,na kupiga nyungu,
Lakini haikuwa hivi siku zote,
Nyerere na Mandela walieshimiwa kwa misimamo yao na sera zao dhabiti.
Kwa Nyerere ishu kama sera ya kutofungamana na upnde wowote,kuvunja mahusiano ya kibalozi na Israel,UK,kuwatetea wapalestina,Vita ya Kagera,Ukombozi wa kusini mwa Afrika.
Sasa unategemea Wamuheshimu Samia kwa lipi kufanya Royal tour!?,
 
Leo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, Kilicho nisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji. Hamna Mmarekani Anaye Jali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao, Hata viongozi Wa Kiserikali Wa Marekani Nao Pia Hawa Time! Yaani Watanzania Wanaoishi Marekani Ndio walio Jitokeza Kumpokea Rais Wa JMT.

Shida ni Nini? Ni sisi Ambao huwa Tunakuza Mapokezi Au Hawa Jamaa ni Wabaguzi? Haiwezekani Rais Akiwa anatoka Ulaya Akija Huku anapokelewa Na Rais Wa JMT tena Kwa Bashasha Lote na Wananchi Kibao na Ngoma Zinapigwa Airpot Hadi Ikulu kwa Msafara Mzitoo na Barabara zinafungwa, Lakini Rais Wetu Akienda Kwao Wanamuona As If Hamna Chochote inauma Sanaaa.

Je, Hii ni Ishara Ya Ubaguzi? Kwanini Marais Wa Kiafrica Hawathaminiwi Wakienda Nchi za Ulaya?
Ndiyo maana mwafrika wa ukweli haendi huko! Mfano JPM
 
Ndio maana hayati Rais Magufuli, akutaka kwenda kwao😄
 
Back
Top Bottom