Kwanini Marais wa Kiafrika hawathaminiwi wakienda Nchi za Ulaya?

Mathalani Rais wetu kipenzi mh.SSH amekwenda MAREKANI kwa ajili ya MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA-UNITED NATIONS GENERAL ASSEMBLY(UNGA) ambao huhudhuriwa na marais wengi sasa ulitaka AKAPOKELEWE NA mh.Rais Joe Biden?!!!Khaaa😲😲
Hana mvuto wowote, na hakika 100% Hayati John Magufuli angehudhuria huo mkutano na kitendo cha yeye kukanyaga ardhi ya Marekani na hakika viunga vya Marekani vingesimama kwa muda.

Ila huyu Mh. Samia ameishia kupokelewa na wajinga wajinga wanaoishi marekani, what a shameful mbaya zaidi kaenda mbali hadi kapiga nao picha..
 
Leo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, Kilicho nisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji. Hamna Mmarekani Anaye Jali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao, Hata viongozi Wa Kiserikali Wa Marekani Nao Pia Hawa Time! Yaani Watanzania Wanaoishi Marekani Ndio walio Jitokeza Kumpokea Rais Wa JMT.

Shida ni Nini? Ni sisi Ambao huwa Tunakuza Mapokezi Au Hawa Jamaa ni Wabaguzi? Haiwezekani Rais Akiwa anatoka Ulaya Akija Huku anapokelewa Na Rais Wa JMT tena Kwa Bashasha Lote na Wananchi Kibao na Ngoma Zinapigwa Airpot Hadi Ikulu kwa Msafara Mzitoo na Barabara zinafungwa, Lakini Rais Wetu Akienda Kwao Wanamuona As If Hamna Chochote inauma Sanaaa.

Je, Hii ni Ishara Ya Ubaguzi? Kwanini Marais Wa Kiafrica Hawathaminiwi Wakienda Nchi za Ulaya?
Kazi ya Lissu hiyo sio mchezo, bad kidogo watamtembeza kwa miguu
 
Matendo yao yanawafanya wasithaminiwe. Ni matendo yao, majitu kamatili, mauaji, majizi, mazinzi, yana practice nepotism, tribalisim and all filths yo can imagine. Hayawezi kuheshimiwa katu
 
Hana mvuto wowote, na hakika 100% Hayati John Magufuli angehudhuria huo mkutano na kitendo cha yeye kukanyaga ardhi ya Marekani na hakika viunga vya Marekani vingesimama kwa muda.

Ila huyu Mh. Samia ameishia kupokelewa na machangudoa wanaoishi marekani, what a shameful mbaya zaidi kaenda mbali hadi kapiga nao picha..
Jitu kama Jiwe lisingelithaminiwa katu maana Matendo yake yangelimdharaulisha. jitu katili, uaji, jizi, zinzi, yana practice nepotism, tribalism, and all filths you can imagine. Hawezi kuheshimiwa katu
 
Hana mvuto wowote, na hakika 100% Hayati John Magufuli angehudhuria huo mkutano na kitendo cha yeye kukanyaga ardhi ya Marekani na hakika viunga vya Marekani vingesimama kwa muda.

Ila huyu Mh. Samia ameishia kupokelewa na machangudoa wanaoishi marekani, what a shameful mbaya zaidi kaenda mbali hadi kapiga nao picha..
Mwaka 2018 hayati JPM alisema kuwa hana haja ya KUSAFIRI KWENDA UMOJA WA MATAIFA katika kikao cha "UNGA" na atawakilishwa na Waziri wa mambo ya nje Hayati Balozi Mahiga na Naibu wake kwa sababu ya "KUPUNGUZA GHARAMA ZA KUMSAFIRISHA RAIS".....mkuu hizi ni zama za kiongozi mwingine.....

Hivi unadhani kwa UMOJA WA MATAIFA na nchi kama Marekani haivutiwi na Rais wa kwanza mwanamke ?!!!!

Hivi unadhani kwa nchi kama Marekani na UMOJA WA MATAIFA haivutiwi na aliyekuwa makamu wa Rais chini ya Rais ambaye ALIKUWA NA MSIMAMO WA PEKEE DHIDI YA CHANJO NA HATUA ZA DUNIA DHIDI YA COVID-19?!!!

Halafu mkuu si vyema kuwa na DHARAU dhidi ya WATANZANIA wenzako walio nje(DIASPORA) na waliojitokeza kumpokea mh.Rais....yaani umeamua KUWABAGAZA wale dada zetu waliojitokeza pale?!!!Khaaa 😲😲

#SiempreJMT
#NchiKwanza
 
Leo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, Kilicho nisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji. Hamna Mmarekani Anaye Jali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao, Hata viongozi Wa Kiserikali Wa Marekani Nao Pia Hawa Time! Yaani Watanzania Wanaoishi Marekani Ndio walio Jitokeza Kumpokea Rais Wa JMT.

Shida ni Nini? Ni sisi Ambao huwa Tunakuza Mapokezi Au Hawa Jamaa ni Wabaguzi? Haiwezekani Rais Akiwa anatoka Ulaya Akija Huku anapokelewa Na Rais Wa JMT tena Kwa Bashasha Lote na Wananchi Kibao na Ngoma Zinapigwa Airpot Hadi Ikulu kwa Msafara Mzitoo na Barabara zinafungwa, Lakini Rais Wetu Akienda Kwao Wanamuona As If Hamna Chochote inauma Sanaaa.

Je, Hii ni Ishara Ya Ubaguzi? Kwanini Marais Wa Kiafrica Hawathaminiwi Wakienda Nchi za Ulaya?
Alipokelewa na Diaspora iliyokuwa ikiongozwa na kina Mange Kimbani, ndio niliwaona pale Airport
 
Mwaka 2018 hayati JPM alisema kuwa hana haja ya KUSAFIRI KWENDA UMOJA WA MATAIFA katika kikao cha "UNGA" na atawakilishwa na Waziri wa mambo ya nje Hayati Balozi Mahiga na Naibu wake kwa sababu ya "KUPUNGUZA GHARAMA ZA KUMSAFIRISHA RAIS".....mkuu hizi ni zama za kiongozi mwingine.....

Hivi unadhani kwa UMOJA WA MATAIFA na nchi kama Marekani haivutiwi na Rais wa kwanza mwanamke ?!!!!

Hivi unadhani kwa nchi kama Marekani na UMOJA WA MATAIFA haivutiwi na aliyekuwa makamu wa Rais chini ya Rais ambaye ALIKUWA NA MSIMAMO WA PEKEE DHIDI YA CHANJO NA HATUA ZA DUNIA DHIDI YA COVID-19?!!!

Halafu mkuu si vyema kuwa na DHARAU dhidi ya WATANZANIA wenzako walio nje(DIASPORA) na waliojitokeza kumpokea mh.Rais....yaani umeamua KUWABAGAZA wale dada zetu waliojitokeza pale?!!!Khaaa 😲😲

#SiempreJMT
#NchiKwanza
Wewe ndiyo boga kabisa, Rais Samia ndiye rais wa kwanza mwanamke! Utakuwa mdogo wake Ndugai wewe.
 
Leo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, kilichonisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji.

Hamna Mmarekani Anayejali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao, Hata viongozi Wa Kiserikali Wa Marekani Nao Pia HawanaTime! Yaani Watanzania Wanaoishi Marekani Ndio walioJitokeza Kumpokea Rais Wa JMT.

Shida ni Nini? Ni sisi Ambao huwa Tunakuza Mapokezi Au Hawa Jamaa ni Wabaguzi? Haiwezekani Rais Akiwa anatoka Ulaya Akija Huku anapokelewa Na Rais Wa JMT tena Kwa Bashasha Lote na Wananchi Kibao na Ngoma Zinapigwa Airpot Hadi Ikulu kwa Msafara Mzitoo na Barabara zinafungwa, Lakini Rais Wetu Akienda Kwao Wanamuona As If Hamna Chochote inauma Sana.

Je, hii ni ishara ya ubaguzi? Kwanini Marais Wa Kiafrica hawathaminiwi wakienda nchi za Ulaya?
A begger has no choice my friend...
 
Heshima ya nchi ni uchumi imara , yaliyobaki ni kelele tu, viongozi wa Africa kwenda UN ni kupoteza muda, hakuna anae wasikiliza.
 
Mimi nashangaa sijaona wale makomando wetu wakimzungumka pande zote, na migari mingi mingi
Ndipo ushangae, yani kumbe akiwa ndani anakuwa na hofu kuliko akiwa nje tena nchi ambayo watu vichaa tu mtu anachukua bunduki anavamia shule na kuua wanafunzi wakati kwetu hayo mambo hayapo
 
Leo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, kilichonisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji.

Hamna Mmarekani Anayejali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao, Hata viongozi Wa Kiserikali Wa Marekani Nao Pia HawanaTime! Yaani Watanzania Wanaoishi Marekani Ndio walioJitokeza Kumpokea Rais Wa JMT.

Shida ni Nini? Ni sisi Ambao huwa Tunakuza Mapokezi Au Hawa Jamaa ni Wabaguzi? Haiwezekani Rais Akiwa anatoka Ulaya Akija Huku anapokelewa Na Rais Wa JMT tena Kwa Bashasha Lote na Wananchi Kibao na Ngoma Zinapigwa Airpot Hadi Ikulu kwa Msafara Mzitoo na Barabara zinafungwa, Lakini Rais Wetu Akienda Kwao Wanamuona As If Hamna Chochote inauma Sana.

Je, hii ni ishara ya ubaguzi? Kwanini Marais Wa Kiafrica hawathaminiwi wakienda nchi za Ulaya?
Wewe ukienda kwenu kijijini si wanakupokea kijiji kizima mpaka kanisani au msikitini wanakupia makofi.

Ila shangazi yako akija na fuko lake wote mnapiga kimya Mtaa mzima
 
Leo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, kilichonisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji.

Hamna Mmarekani Anayejali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao, Hata viongozi Wa Kiserikali Wa Marekani Nao Pia HawanaTime! Yaani Watanzania Wanaoishi Marekani Ndio walioJitokeza Kumpokea Rais Wa JMT.

Shida ni Nini? Ni sisi Ambao huwa Tunakuza Mapokezi Au Hawa Jamaa ni Wabaguzi? Haiwezekani Rais Akiwa anatoka Ulaya Akija Huku anapokelewa Na Rais Wa JMT tena Kwa Bashasha Lote na Wananchi Kibao na Ngoma Zinapigwa Airpot Hadi Ikulu kwa Msafara Mzitoo na Barabara zinafungwa, Lakini Rais Wetu Akienda Kwao Wanamuona As If Hamna Chochote inauma Sana.

Je, hii ni ishara ya ubaguzi? Kwanini Marais Wa Kiafrica hawathaminiwi wakienda nchi za Ulaya?
Usiwe mjinga inategemea na ualiko
Angealikwa na Joe Biden angefanyiwa kitu
Ila hapa kaenda kwenye kikao ambacho joe mwenyewe ni mualikwa
 
Leo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, kilichonisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji.

Hamna Mmarekani Anayejali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao, Hata viongozi Wa Kiserikali Wa Marekani Nao Pia HawanaTime! Yaani Watanzania Wanaoishi Marekani Ndio walioJitokeza Kumpokea Rais Wa JMT.

Shida ni Nini? Ni sisi Ambao huwa Tunakuza Mapokezi Au Hawa Jamaa ni Wabaguzi? Haiwezekani Rais Akiwa anatoka Ulaya Akija Huku anapokelewa Na Rais Wa JMT tena Kwa Bashasha Lote na Wananchi Kibao na Ngoma Zinapigwa Airpot Hadi Ikulu kwa Msafara Mzitoo na Barabara zinafungwa, Lakini Rais Wetu Akienda Kwao Wanamuona As If Hamna Chochote inauma Sana.

Je, hii ni ishara ya ubaguzi? Kwanini Marais Wa Kiafrica hawathaminiwi wakienda nchi za Ulaya?
Hawa wenzetu wameshapita kipindi cha "UJUHA" cha kuteketeza resources zao kwa ajili ya mtu, wao wapo ktk maendeleo zaidi na hawana kabisa muda wa kujipanga barabarani kwa masaa mawili kumsubiri mtu.

Nchi nyingi za Africa, bado tuna huo Ujuha au kwa lugha ya mtaani Ushamba. Hatujipi kazi ya kufanya uchunguzi kuwa tunapoteza muda kiasi gani kwa matendo kama hayo, au tunapoteza rasilimali kiasi gani kwa mambo kama hayo? Je vipaumbele vyetu ni nini? Tungekuwa tunafikiri kwa mtazamo huo, nadhani haya yanayotokea huko US, yasingetushangaza. Angalia mfano mmoja tu, Ukiona msafara wa Waziri Mkuu wa Uingereza, hauna gari zaidi ya 3, lakini ukiona msafari wa Maraisi wetu utaona kuna magari yasiyopungua 20. Hayo yote ni matumizi ya mtu mmoja, na ukiangalia kwa mwaka ni pesa nyingi sana. Wenzetu tayari wanavipaumbele vyao vya maendeleo, na si ujio wa Rais watu mpaka washone sare au uniform nk. Angalia mfano wakati wa kukimbiza Mwenge, ukiangalia Mwenge unapita eneo fulani si zaidi ya dk 30, lakini utaona watu wameshona vitenge au wamenunua T-shirt, hizo zote ni pesa za Umma.

Mifano ipo mingi, nadhani hy michache inatupa kujifanyia tathmini juu ya UJUHA wetu. Kiongozi analindwa utadhani tunaishi na Magaidi? Kiongozi anakuwa kama si binadamu sijui kiumbe gani? Tubadilike, hao viongozi ni watu kama sisi tu, tunahitahi mpango kazi wa maendeleo sio kuwashangilia watu barabani.

Hayo ya US na Nchi nyingine yasitushangaze, watu wako busy na kazi zao, wengine wanafanya kazi hata 3 kwa siku, huo muda wa kushangilia Viongozi haupo.
 
Mathalani Rais wetu kipenzi mh. SSH amekwenda MAREKANI kwa ajili ya MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA-UNITED NATIONS GENERAL ASSEMBLY(UNGA) ambao huhudhuriwa na marais wengi sasa ulitaka AKAPOKELEWE NA mh.Rais Joe Biden?!!!Khaaa😲
Hujui. Uliza uelinishwe.
 
Tuliheshimika sana miaka ya 60 - 90. Kwa sasa Nchi za Kiafrica ni kiwanda cha kutoheshimu haki za binadamu, kutotii katiba zao za nchi na kukandizwaji wa demokrasia.

Angalia hapa mwalimu alikpata heshima huko US na UK state visit. Heshima hizi zimevurugwa vurugwa sasa hivi sidhani tunaweza kupata heshima ya state visit kwenye mataifa makubwa duniani.

Leo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, kilichonisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji.

Hamna Mmarekani Anayejali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao, Hata viongozi Wa Kiserikali Wa Marekani Nao Pia HawanaTime! Yaani Watanzania Wanaoishi Marekani Ndio walioJitokeza Kumpokea Rais Wa JMT.

Shida ni Nini? Ni sisi Ambao huwa Tunakuza Mapokezi Au Hawa Jamaa ni Wabaguzi? Haiwezekani Rais Akiwa anatoka Ulaya Akija Huku anapokelewa Na Rais Wa JMT tena Kwa Bashasha Lote na Wananchi Kibao na Ngoma Zinapigwa Airpot Hadi Ikulu kwa Msafara Mzitoo na Barabara zinafungwa, Lakini Rais Wetu Akienda Kwao Wanamuona As If Hamna Chochote inauma Sana.

Je, hii ni ishara ya ubaguzi? Kwanini Marais Wa Kiafrica hawathaminiwi wakienda nchi za Ulaya?
Kwasababu wanaenda kuomba omba , mfano Mimi kila nikikutana nawewe nakuomba hela nikija kwako nakuja kukuomba, unafikir watoto wako na mke wako watanieshim?
 
Magufuli wetu alikuwa anayawaza haya ndo maana akawa anakataa utumwa was kishamba kama huu.

Lima lenu lenyewe ndo Hilo chukueni.
 
Back
Top Bottom