Kwanini Marais wa Kiafrika hawathaminiwi wakienda Nchi za Ulaya?

Mathalani Rais wetu kipenzi mh. SSH amekwenda MAREKANI kwa ajili ya MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA-UNITED NATIONS GENERAL ASSEMBLY(UNGA) ambao huhudhuriwa na marais wengi sasa ulitaka AKAPOKELEWE NA mh.Rais Joe Biden?!!!Khaaa😲
Apokelewe na balozi wetu au mwambata wa kijeshi
 
But he has a point
Hana point huo ni mkutano wa UN mkuu na sio mwaliko wa Rais Biden so kuna utifauti, pia nyie mumezoea mapokezi ya kishamba ka yetu kule mbelezi hamna huo ujinga
 
Rais hawezi kupokelewa na Rais wa marekani kwa kuwa Samia hakwenda Marekani kwa mwaliko wa Rais wa marekani bali amekwenda kuhudhuria kikao cha UN .UN iko indepemdent kabisa na mambo ya nchi pale Marekani na ndio maana hata kama una vikwazo vya nchi kama ilivyokuwa Zimbabwe na Libya Marais wao waliruhusiwa kufika NY kuhudhuria mkutano wa UN na kurudi bila kukataliwa na US Government.So Biden hausiki hata kidogo na UN meeting nae ataenda kama marais wengine walioenda.Kama Samia atakwenda Marekani kwa Ziara ya kiserikali na amealikwa au ameomba na serikali ya Marekani wamekubali basi atapokelewa kiserikali na rais wa marekani na ungemwona Ikulu ya Marekani.
 
Wewe kwenu akija mgeni toka kijijini huwa unampokeaje? Unamchukuliaje? Yaani hata haushtuki
 
Ningekuwa huko ningembebea bango la Chadema Lives Matter
 
Mapokezi unaangalia nani wa kumpa pia. Sasa kama hawa wetu wenye Falsafa ya Mwanamke naye ni zamu atawale bila kujali Agenda, unategemea nini. Wenzetu Raisi ni mtu mwenye maono makubwa. Kimsingi Viongozi wengi wa Afrika wanachukuliwa kama Ceremonial Presidents tu.
nahisi kwenye hotuba yake atazungumzia wanawake kupewa nafasi za uongozi kama vile yeye ndio mwanamke wa kwanza kutawala
 
Alienda kama rais JMT kwa mwaliko maalum na JF Kennedy,sio kuhudhuria UN Comittee.
Akienda kwa 'mwaliko' nafasi ya urais inapanda na akienda kuhudhuria nafasi ya urais inashuka?.

☝🏾 Sijakuelewa una maana gani 🤔!.
 
Leo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, kilichonisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji.

Hamna Mmarekani Anayejali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao, Hata viongozi Wa Kiserikali Wa Marekani Nao Pia HawanaTime! Yaani Watanzania Wanaoishi Marekani Ndio walioJitokeza Kumpokea Rais Wa JMT.

Shida ni Nini? Ni sisi Ambao huwa Tunakuza Mapokezi Au Hawa Jamaa ni Wabaguzi? Haiwezekani Rais Akiwa anatoka Ulaya Akija Huku anapokelewa Na Rais Wa JMT tena Kwa Bashasha Lote na Wananchi Kibao na Ngoma Zinapigwa Airpot Hadi Ikulu kwa Msafara Mzitoo na Barabara zinafungwa, Lakini Rais Wetu Akienda Kwao Wanamuona As If Hamna Chochote inauma Sana.

Je, hii ni ishara ya ubaguzi? Kwanini Marais Wa Kiafrica hawathaminiwi wakienda nchi za Ulaya?
Kwani hiyo ni state visit?

Wapo waliofanya state visit na wakapokelewa kama Huku

Africa tunadharaulika sana, Trump ni moja ya maraisi ambae alituchana makavu kwamba inabidi tutawaliwe tena, mwanaume ni Kim wa NK, jamaa alimkaribisha Papa kijeshi licha ya kuwa ni kiongozi wa kidini.

Najisikia uchungu sana kuona bara langu na taifa tukidharaulika kiasi hiki,

Obama alikuja wakakata mpaka miti airport, waka install radar zao, yaani wanajifanya very special, tukawafagilia na barabara, tshirt zikachapwa, mabango yakatengenezwa

Hivi Africa tulikosa nini?

Munawafanyia yoote ayo,, mwisho wa siku mwafrika ni SOKWE.

Kwenye nchi za kiarabu huwezi kuta ushenzi kama huo. Refer nyerere na kikwete walivyopokerewa na kukirimiwa na waarabu wa oman. Ndiyo mtambue waarabu ni watu wema na karimu munoo kuliko jamii yoyote duniani. Wabarikiwe sana.
 
Kwani alishidwa kumtuma balozi wa Tanzania-marekani amuwakilishe acha aonekane kama mwanasesere tu
 
Leo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, kilichonisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji.

Hamna Mmarekani Anayejali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao, Hata viongozi Wa Kiserikali Wa Marekani Nao Pia HawanaTime! Yaani Watanzania Wanaoishi Marekani Ndio walioJitokeza Kumpokea Rais Wa JMT.

Shida ni Nini? Ni sisi Ambao huwa Tunakuza Mapokezi Au Hawa Jamaa ni Wabaguzi? Haiwezekani Rais Akiwa anatoka Ulaya Akija Huku anapokelewa Na Rais Wa JMT tena Kwa Bashasha Lote na Wananchi Kibao na Ngoma Zinapigwa Airpot Hadi Ikulu kwa Msafara Mzitoo na Barabara zinafungwa, Lakini Rais Wetu Akienda Kwao Wanamuona As If Hamna Chochote inauma Sana.

Je, hii ni ishara ya ubaguzi? Kwanini Marais Wa Kiafrica hawathaminiwi wakienda nchi za Ulaya?
Yeye siyo mgeni wa Marekani.Amekwenda UNO ambayo iko Marekani
 
Hii ni dharau kubwa! Rais wa nchi anapokelewa kama mtendaji wa kijiji! Pia kulikuwa na ulazima gani kwenda huko?? Sijasikia Uhuru Kenyatta wa Kenya au M7 au Rais mwingine wa EA aliyehudhuria
 
Leo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, kilichonisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji.

Hamna Mmarekani Anayejali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao, Hata viongozi Wa Kiserikali Wa Marekani Nao Pia HawanaTime! Yaani Watanzania Wanaoishi Marekani Ndio walioJitokeza Kumpokea Rais Wa JMT.

Shida ni Nini? Ni sisi Ambao huwa Tunakuza Mapokezi Au Hawa Jamaa ni Wabaguzi? Haiwezekani Rais Akiwa anatoka Ulaya Akija Huku anapokelewa Na Rais Wa JMT tena Kwa Bashasha Lote na Wananchi Kibao na Ngoma Zinapigwa Airpot Hadi Ikulu kwa Msafara Mzitoo na Barabara zinafungwa, Lakini Rais Wetu Akienda Kwao Wanamuona As If Hamna Chochote inauma Sana.

Je, hii ni ishara ya ubaguzi? Kwanini Marais Wa Kiafrica hawathaminiwi wakienda nchi za Ulaya?
Marais wa nchi za Afrika zaidi ya 90% wanatamani kwenda Marekani pia.
Sasa hao Marekani watapokea watu wangapi? Huyo Rais wa Marekani si ataishi airport sasa?
 
Leo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, kilichonisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji.

Hamna Mmarekani Anayejali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao, Hata viongozi Wa Kiserikali Wa Marekani Nao Pia HawanaTime! Yaani Watanzania Wanaoishi Marekani Ndio walioJitokeza Kumpokea Rais Wa JMT.

Shida ni Nini? Ni sisi Ambao huwa Tunakuza Mapokezi Au Hawa Jamaa ni Wabaguzi? Haiwezekani Rais Akiwa anatoka Ulaya Akija Huku anapokelewa Na Rais Wa JMT tena Kwa Bashasha Lote na Wananchi Kibao na Ngoma Zinapigwa Airpot Hadi Ikulu kwa Msafara Mzitoo na Barabara zinafungwa, Lakini Rais Wetu Akienda Kwao Wanamuona As If Hamna Chochote inauma Sana.

Je, hii ni ishara ya ubaguzi? Kwanini Marais Wa Kiafrica hawathaminiwi wakienda nchi za Ulaya?
Magufuli tutakukumbuka daima
 
Back
Top Bottom