Bepari2020
JF-Expert Member
- Nov 7, 2020
- 2,072
- 2,453
Hata Wakenya wametushinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Papa ni Kiongozi wa Dini lakini pia ni Mkuu wa Nchi anazo kofia mbili,kupokelewa kijeshi ni sawa tu..Africa tunadharaulika sana, Trump ni moja ya maraisi ambae alituchana makavu kwamba inabidi tutawaliwe tena, mwanaume ni Kim wa NK, jamaa alimkaribisha Papa kijeshi licha ya kuwa ni kiongozi wa kidini...
Upo sahihi.Mkuu Papa ni Kiongozi wa Dini lakini pia ni Mkuu wa Nchi anazo kofia mbili,kupokelewa kijeshi ni sawa tu..
Kama wako nyuma ya huo mpango tuungane Afrika na tuwe na sarafu moja watakubali ila kama sivyo yale yale ya Gadaffi yatatokea Afrika.Upo sahihi.
USA wanamheshimu Kim kuliko hata maraisi wetu wa Africa, Trump alipokutana na Kim wazungu walisema hio ni historical meeting. Wanamheshimu na wanamuogopa, Africa inabidi na sisi tuogopwe na tuheshimike...
Mkuu, kwanza Hongera kwa kuwa na bundle. Pili, Hongera kwa kuwa mwana JF. Tatu. Hongera kwa kuanzisha uzi.Leo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, Kilicho nisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji. Hamna Mmarekani Anaye Jali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao...
Nani apoteze muda wake kuja kukupokea wakati umeleta shida zako?wale wakija huku lazima uwajali kwani wanakuletea neema,Leo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, Kilicho nisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji. Hamna Mmarekani Anaye Jali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao....
Hapo nimekupata kwamba hawako tayari kuona tunaungana.Kama wako nyuma ya huo mpango tuungane Afrika na tuwe na sarafu moja watakubali ila kama sivyo yale yale ya Gadaffi yatatokea Afrika.
Dah...., Swali fikirishi kweli.Leo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, Kilicho nisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji. Hamna Mmarekani Anaye Jali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao...
Basi angetuma ata naibuAtawapokea wangapi ?!!
Mange Kunambi ni mtu mdogo saanaMange Kimambi kaenda kupokea
Duuh we mzee wewe 😲🤣🤣Basi angetuma ata naibu
Leo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, Kilicho nisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji. Hamna Mmarekani Anaye Jali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao...
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mimi nashangaa sijaona wale makomando wetu wakimzungumka pande zote, na migari mingi mingi