Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Sijui ni Nani nimuagize na iPhone 13 Mana huko ni kitu Kama 2.34M i.e 1k USD nikiileta hapa nauza 1500 usdSasa wengine Ni kama wameenda kutalii tu. Kuna mipango gani hapo UN ya kuendeleza Nchi yetu. Kama mipango ya maendeleo tusipoipanga kupitia Bunge na Mabaraza ya madiwani tusitarajie hivyo vikao kuna na lolote. Nionavyo mimi wengine wameenda kutalii na kufanya Shopping. Ujinga kama huu ndo aliukataa Magufuli.
Hivi Nyerere ndio alipiga picha na Harmorapa wa kule a.k.a Jay Z?Rais wa Mwisho kupokelewa alikuwa Nyerere tu.
Leo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, Kilicho nisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji. Hamna Mmarekani Anaye Jali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao...
Tumezidi kujipendekeza.Leo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, Kilicho nisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji. Hamna Mmarekani Anaye Jali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao...
That man was an international figureRais wa Mwisho kupokelewa alikuwa Nyerere tu.
Atawapokea wangapi ?!!Kwa nini Biden hakujitokeza kumpokea?
Dah imegusa kisu kwenye mfupaRais wa Mwisho kupokelewa alikuwa Nyerere tu.
Dah Hii comment [emoji38]Sisi wamarekani tunajiuliza kwanin kwenye listi za nchi zenye magaidi tumeisahau nchi ya Tanzania
Sisi wamarekani tunajiuliza kwanin kwenye listi za magaidi tumelisahau jina freeman mbowe
Kwa mambo hayo hapo juu imetupelekea sisi wamarekani kusahau kama upo ugeni kutoka Tanzania
Boss hanuniwi MkuuLeo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, Kilicho nisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji. Hamna Mmarekani Anaye Jali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao...
🤣🤣Mleta mada una mawazo finyu sana
Itx true kabisa...Mapokezi unaangalia nani wa kumpa pia. Sasa kama hawa wetu wenye Falsafa ya Mwanamke naye ni zamu atawale bila kujali Agenda, unategemea nini. Wenzetu Raisi ni mtu mwenye maono makubwa. Kimsingi Viongozi wengi wa Afrika wanachukuliwa kama Ceremonial Presidents tu.
Endeleeni kuwanyenyekea mabeberu, siku akienda nchi za kiarabu kama kawa atapokelewa kwa heshima zote, refer kikwete na nyerere ndio mtambue waarabu ni wa2 karimu mno.Leo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, Kilicho nisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji. Hamna Mmarekani Anaye Jali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao...
Hiyo ilikuwa ziara ya kiserikali na sio kwenye mkutano wa baraza kuu la UN. Elewa tofauti sio unakurupuka tu hapo ufipa.Rais wa Mwisho kupokelewa alikuwa Nyerere tu.