fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Hata nyerere hakupokelewa eapoti na rais wa marekani,bali anapoenda ikulu zao ndipo anapokelewa na rais,hata mandela hakupokewa eapoti na rais wa marekaniRais wa Mwisho kupokelewa alikuwa Nyerere tu.
Hana mvuto wowote, na hakika 100% Hayati John Magufuli angehudhuria huo mkutano na kitendo cha yeye kukanyaga ardhi ya Marekani na hakika viunga vya Marekani vingesimama kwa muda.Mathalani Rais wetu kipenzi mh.SSH amekwenda MAREKANI kwa ajili ya MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA-UNITED NATIONS GENERAL ASSEMBLY(UNGA) ambao huhudhuriwa na marais wengi sasa ulitaka AKAPOKELEWE NA mh.Rais Joe Biden?!!!Khaaa😲😲
Kazi ya Lissu hiyo sio mchezo, bad kidogo watamtembeza kwa miguuLeo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, Kilicho nisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji. Hamna Mmarekani Anaye Jali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao, Hata viongozi Wa Kiserikali Wa Marekani Nao Pia Hawa Time! Yaani Watanzania Wanaoishi Marekani Ndio walio Jitokeza Kumpokea Rais Wa JMT.
Shida ni Nini? Ni sisi Ambao huwa Tunakuza Mapokezi Au Hawa Jamaa ni Wabaguzi? Haiwezekani Rais Akiwa anatoka Ulaya Akija Huku anapokelewa Na Rais Wa JMT tena Kwa Bashasha Lote na Wananchi Kibao na Ngoma Zinapigwa Airpot Hadi Ikulu kwa Msafara Mzitoo na Barabara zinafungwa, Lakini Rais Wetu Akienda Kwao Wanamuona As If Hamna Chochote inauma Sanaaa.
Je, Hii ni Ishara Ya Ubaguzi? Kwanini Marais Wa Kiafrica Hawathaminiwi Wakienda Nchi za Ulaya?
Matendo yao yanawafanya wasithaminiwe. Ni matendo yao, majitu kamatili, mauaji, majizi, mazinzi, yana practice nepotism, tribalisim and all filths yo can imagine. Hayawezi kuheshimiwa katuLeo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, Kilicho nisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji. Hamna Mmarekani Anaye Jali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao, Hata viongozi Wa Kiserikali Wa Marekani Nao Pia Hawa Time! Yaani Watanzania Wanaoishi Marekani Ndio walio Jitokeza Kumpokea Rais Wa JMT.
Shida ni Nini? Ni sisi Ambao huwa Tunakuza Mapokezi Au Hawa Jamaa ni Wabaguzi? Haiwezekani Rais Akiwa anatoka Ulaya Akija Huku anapokelewa Na Rais Wa JMT tena Kwa Bashasha Lote na Wananchi Kibao na Ngoma Zinapigwa Airpot Hadi Ikulu kwa Msafara Mzitoo na Barabara zinafungwa, Lakini Rais Wetu Akienda Kwao Wanamuona As If Hamna Chochote inauma Sanaaa.
Je, Hii ni Ishara Ya Ubaguzi? Kwanini Marais Wa Kiafrica Hawathaminiwi Wakienda Nchi za Ulaya?
Jitu kama Jiwe lisingelithaminiwa katu maana Matendo yake yangelimdharaulisha. jitu katili, uaji, jizi, zinzi, yana practice nepotism, tribalism, and all filths you can imagine. Hawezi kuheshimiwa katuHana mvuto wowote, na hakika 100% Hayati John Magufuli angehudhuria huo mkutano na kitendo cha yeye kukanyaga ardhi ya Marekani na hakika viunga vya Marekani vingesimama kwa muda.
Ila huyu Mh. Samia ameishia kupokelewa na machangudoa wanaoishi marekani, what a shameful mbaya zaidi kaenda mbali hadi kapiga nao picha..
Mwaka 2018 hayati JPM alisema kuwa hana haja ya KUSAFIRI KWENDA UMOJA WA MATAIFA katika kikao cha "UNGA" na atawakilishwa na Waziri wa mambo ya nje Hayati Balozi Mahiga na Naibu wake kwa sababu ya "KUPUNGUZA GHARAMA ZA KUMSAFIRISHA RAIS".....mkuu hizi ni zama za kiongozi mwingine.....Hana mvuto wowote, na hakika 100% Hayati John Magufuli angehudhuria huo mkutano na kitendo cha yeye kukanyaga ardhi ya Marekani na hakika viunga vya Marekani vingesimama kwa muda.
Ila huyu Mh. Samia ameishia kupokelewa na machangudoa wanaoishi marekani, what a shameful mbaya zaidi kaenda mbali hadi kapiga nao picha..
Alipokelewa na Diaspora iliyokuwa ikiongozwa na kina Mange Kimbani, ndio niliwaona pale AirportLeo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, Kilicho nisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji. Hamna Mmarekani Anaye Jali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao, Hata viongozi Wa Kiserikali Wa Marekani Nao Pia Hawa Time! Yaani Watanzania Wanaoishi Marekani Ndio walio Jitokeza Kumpokea Rais Wa JMT.
Shida ni Nini? Ni sisi Ambao huwa Tunakuza Mapokezi Au Hawa Jamaa ni Wabaguzi? Haiwezekani Rais Akiwa anatoka Ulaya Akija Huku anapokelewa Na Rais Wa JMT tena Kwa Bashasha Lote na Wananchi Kibao na Ngoma Zinapigwa Airpot Hadi Ikulu kwa Msafara Mzitoo na Barabara zinafungwa, Lakini Rais Wetu Akienda Kwao Wanamuona As If Hamna Chochote inauma Sanaaa.
Je, Hii ni Ishara Ya Ubaguzi? Kwanini Marais Wa Kiafrica Hawathaminiwi Wakienda Nchi za Ulaya?
Alitakiwa ajielimishe kwanza kuhusu UN kabla ya kuleta hoja ya kitoto.Inawezekana hajui, itapendeza zaidi wewe unayejua ukamwelimisha.
Wewe ndiyo boga kabisa, Rais Samia ndiye rais wa kwanza mwanamke! Utakuwa mdogo wake Ndugai wewe.Mwaka 2018 hayati JPM alisema kuwa hana haja ya KUSAFIRI KWENDA UMOJA WA MATAIFA katika kikao cha "UNGA" na atawakilishwa na Waziri wa mambo ya nje Hayati Balozi Mahiga na Naibu wake kwa sababu ya "KUPUNGUZA GHARAMA ZA KUMSAFIRISHA RAIS".....mkuu hizi ni zama za kiongozi mwingine.....
Hivi unadhani kwa UMOJA WA MATAIFA na nchi kama Marekani haivutiwi na Rais wa kwanza mwanamke ?!!!!
Hivi unadhani kwa nchi kama Marekani na UMOJA WA MATAIFA haivutiwi na aliyekuwa makamu wa Rais chini ya Rais ambaye ALIKUWA NA MSIMAMO WA PEKEE DHIDI YA CHANJO NA HATUA ZA DUNIA DHIDI YA COVID-19?!!!
Halafu mkuu si vyema kuwa na DHARAU dhidi ya WATANZANIA wenzako walio nje(DIASPORA) na waliojitokeza kumpokea mh.Rais....yaani umeamua KUWABAGAZA wale dada zetu waliojitokeza pale?!!!Khaaa 😲😲
#SiempreJMT
#NchiKwanza
A begger has no choice my friend...Leo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, kilichonisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji.
Hamna Mmarekani Anayejali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao, Hata viongozi Wa Kiserikali Wa Marekani Nao Pia HawanaTime! Yaani Watanzania Wanaoishi Marekani Ndio walioJitokeza Kumpokea Rais Wa JMT.
Shida ni Nini? Ni sisi Ambao huwa Tunakuza Mapokezi Au Hawa Jamaa ni Wabaguzi? Haiwezekani Rais Akiwa anatoka Ulaya Akija Huku anapokelewa Na Rais Wa JMT tena Kwa Bashasha Lote na Wananchi Kibao na Ngoma Zinapigwa Airpot Hadi Ikulu kwa Msafara Mzitoo na Barabara zinafungwa, Lakini Rais Wetu Akienda Kwao Wanamuona As If Hamna Chochote inauma Sana.
Je, hii ni ishara ya ubaguzi? Kwanini Marais Wa Kiafrica hawathaminiwi wakienda nchi za Ulaya?
Ndipo ushangae, yani kumbe akiwa ndani anakuwa na hofu kuliko akiwa nje tena nchi ambayo watu vichaa tu mtu anachukua bunduki anavamia shule na kuua wanafunzi wakati kwetu hayo mambo hayapoMimi nashangaa sijaona wale makomando wetu wakimzungumka pande zote, na migari mingi mingi
Wewe ukienda kwenu kijijini si wanakupokea kijiji kizima mpaka kanisani au msikitini wanakupia makofi.Leo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, kilichonisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji.
Hamna Mmarekani Anayejali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao, Hata viongozi Wa Kiserikali Wa Marekani Nao Pia HawanaTime! Yaani Watanzania Wanaoishi Marekani Ndio walioJitokeza Kumpokea Rais Wa JMT.
Shida ni Nini? Ni sisi Ambao huwa Tunakuza Mapokezi Au Hawa Jamaa ni Wabaguzi? Haiwezekani Rais Akiwa anatoka Ulaya Akija Huku anapokelewa Na Rais Wa JMT tena Kwa Bashasha Lote na Wananchi Kibao na Ngoma Zinapigwa Airpot Hadi Ikulu kwa Msafara Mzitoo na Barabara zinafungwa, Lakini Rais Wetu Akienda Kwao Wanamuona As If Hamna Chochote inauma Sana.
Je, hii ni ishara ya ubaguzi? Kwanini Marais Wa Kiafrica hawathaminiwi wakienda nchi za Ulaya?
Usiwe mjinga inategemea na ualikoLeo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, kilichonisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji.
Hamna Mmarekani Anayejali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao, Hata viongozi Wa Kiserikali Wa Marekani Nao Pia HawanaTime! Yaani Watanzania Wanaoishi Marekani Ndio walioJitokeza Kumpokea Rais Wa JMT.
Shida ni Nini? Ni sisi Ambao huwa Tunakuza Mapokezi Au Hawa Jamaa ni Wabaguzi? Haiwezekani Rais Akiwa anatoka Ulaya Akija Huku anapokelewa Na Rais Wa JMT tena Kwa Bashasha Lote na Wananchi Kibao na Ngoma Zinapigwa Airpot Hadi Ikulu kwa Msafara Mzitoo na Barabara zinafungwa, Lakini Rais Wetu Akienda Kwao Wanamuona As If Hamna Chochote inauma Sana.
Je, hii ni ishara ya ubaguzi? Kwanini Marais Wa Kiafrica hawathaminiwi wakienda nchi za Ulaya?
Hawa wenzetu wameshapita kipindi cha "UJUHA" cha kuteketeza resources zao kwa ajili ya mtu, wao wapo ktk maendeleo zaidi na hawana kabisa muda wa kujipanga barabarani kwa masaa mawili kumsubiri mtu.Leo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, kilichonisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji.
Hamna Mmarekani Anayejali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao, Hata viongozi Wa Kiserikali Wa Marekani Nao Pia HawanaTime! Yaani Watanzania Wanaoishi Marekani Ndio walioJitokeza Kumpokea Rais Wa JMT.
Shida ni Nini? Ni sisi Ambao huwa Tunakuza Mapokezi Au Hawa Jamaa ni Wabaguzi? Haiwezekani Rais Akiwa anatoka Ulaya Akija Huku anapokelewa Na Rais Wa JMT tena Kwa Bashasha Lote na Wananchi Kibao na Ngoma Zinapigwa Airpot Hadi Ikulu kwa Msafara Mzitoo na Barabara zinafungwa, Lakini Rais Wetu Akienda Kwao Wanamuona As If Hamna Chochote inauma Sana.
Je, hii ni ishara ya ubaguzi? Kwanini Marais Wa Kiafrica hawathaminiwi wakienda nchi za Ulaya?
Hujui. Uliza uelinishwe.Mathalani Rais wetu kipenzi mh. SSH amekwenda MAREKANI kwa ajili ya MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA-UNITED NATIONS GENERAL ASSEMBLY(UNGA) ambao huhudhuriwa na marais wengi sasa ulitaka AKAPOKELEWE NA mh.Rais Joe Biden?!!!Khaaa😲
Kwasababu wanaenda kuomba omba , mfano Mimi kila nikikutana nawewe nakuomba hela nikija kwako nakuja kukuomba, unafikir watoto wako na mke wako watanieshim?Leo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, kilichonisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji.