Kwanini Marais wa Kiafrika hawathaminiwi wakienda Nchi za Ulaya?

Kwanini Marais wa Kiafrika hawathaminiwi wakienda Nchi za Ulaya?

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Leo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, kilichonisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji.

Hamna Mmarekani Anayejali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao, Hata viongozi Wa Kiserikali Wa Marekani Nao Pia HawanaTime! Yaani Watanzania Wanaoishi Marekani Ndio walioJitokeza Kumpokea Rais Wa JMT.

Shida ni Nini? Ni sisi Ambao huwa Tunakuza Mapokezi Au Hawa Jamaa ni Wabaguzi? Haiwezekani Rais Akiwa anatoka Ulaya Akija Huku anapokelewa Na Rais Wa JMT tena Kwa Bashasha Lote na Wananchi Kibao na Ngoma Zinapigwa Airpot Hadi Ikulu kwa Msafara Mzitoo na Barabara zinafungwa, Lakini Rais Wetu Akienda Kwao Wanamuona As If Hamna Chochote inauma Sana.

Je, hii ni ishara ya ubaguzi? Kwanini Marais Wa Kiafrica hawathaminiwi wakienda nchi za Ulaya?
 
Leo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, Kilicho nisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji. Hamna Mmarekani Anaye Jali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao, Hata viongozi Wa Kiserikali Wa Marekani Nao Pia Hawa Time! Yaani Watanzania Wanaoishi Marekani Ndio walio Jitokeza Kumpokea Rais Wa JMT...
Sasa wengine Ni kama wameenda kutalii tu. Kuna mipango gani hapo UN ya kuendeleza Nchi yetu. Kama mipango ya maendeleo tusipoipanga kupitia Bunge na Mabaraza ya madiwani tusitarajie hivyo vikao kuwa na lolote. Nionavyo mimi wengine wameenda kutalii na kufanya Shopping. Ujinga kama huu ndo aliukataa Magufuli.
 
Leo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, Kilicho nisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji. Hamna Mmarekani Anaye Jali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao...
Kwenye hii mwenyeji wake ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na sio Rais wa Marekani. Aidha, TBC wasiporusha hotuba yake kuna uwezekano mkubwa mashirika makubwa ya utangazaji wakaipotezea.

Amandla...
 
Munachoshindwa kuele kuna ziara za aina 2,unaweza kuwa na ziara kwa ajiri ya taifa huska na ziara za mikutano ni vitu viwili tofauti.hii ya samia ni yamkutano tu!

Hata akienda ktk mikutano ya sadec huwa hivyo au umoja wa afrika. Ila ingelikuwa ziara ya mwaliko wa marekani ungeona bwebwe nyingi
 
Leo Rais Wa JMT, Amewasili Nchini Marekani, Kilicho nisikitisha ni namna Alivyopokelewa, Amepokelewa As If Huku Kwetu Yeye ni Mwenyeketi wa Kijiji. Hamna Mmarekani Anaye Jali kama Kuna Rais Wa Nchi Fulani Kaingia Nchini Kwao...
Bado Picha kuwa Sisi ni Manyani na Masokwe haijawatoka Wazungu wengi Akilini ( Ubongoni mwao ) hivyo tukienda wanahisi Sisi ni nusu Watu na Nusu hao Wanyama.

Halafu Mzungu atakuthamini vipi wakati 85% tu ya Bajeti yako ni Nguvu yao ya Kimsaada unayowaomba Kutwa huku hata Kutengeneza tu Chupi zako Wananchi wavae hujaweza na unavaa za Mtumba walizozivaa na Kuzitupa Dampo?

Na Mzungu huwa hamthamini Kilaza.
 
Back
Top Bottom