Hii pumba uliyoandika hapa haiendani kabisa na umri wako. Daah
..Ndio ukweli wenyewe huo.
..Mabeberu wanapenda nchi yenye amani, na kiongozi fisadi.
..Mfano mzuri ni Zaire ile ya enzi za Mobutu Sese Seko.
..Ni urongo kudai mabeberu huanzisha vita ili waibe rasilimali zetu.
..Hivi unafikiri mabeberu wakianzisha vita hapa Tanzania wataweza vipi kusafirisha makinikia?
..Vita huwa tunaanzisha Waafrika wenyewe kutokana na kudhulumiana ktk uchaguzi na siasa.