1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Kwa hiyo unataka utuambue kuwa baada ya Sadam kufa , makampuni yaliyokuwepo yamekimbia yakaacha visima vyao vikachukuliwa na Marekani?Acha upuuzi kamanda Libya na Iraq kuna vita na kampuni za kibeberu zinachimba mafuta,wewe ni mmoja wa watu mnaokiabisha chama chetu kwa kuongea pumba,sasa tunaenda kushindwa vibaya sana.
Hebu acheni siasa za kuwadanganya watu.
Duniani kote wanunuzi wakubwa mafuta na madini na watalii kote ni Wazungu.
Hivi kwa mfano unafikiri wazungu wanataka waje wabebe mlima Kilimanjaro waupeleke kwao ?
Makampuni ya mafuta ni yale yale na wanachima na kuwauzia hao hao wazungu.
Mfanyabiashara kote duniani anafanya kazi moja tu ya kutafuta faida.
Ndio maana ukienda Kariakoo maduka yote watakuuzia bidhaa bila kujali kuwa ni duka LA mchina au Mhindi ,au muarabu au Mchaga au Mkinga.
Wote lao moja wanataka faida.
Jeshi Letu ni imara na nchi inapaswa iwe na Bunge imara linaloweza kumhoji waziri au mtu yeyote anayehisiwa kuwa anasaini mikatana mibovu na kuliibia Taifa kama walivyofanya mawaziri wa CCM na mpaka sasa wanshauri rais Vibaya ili aone kuwa adui wa Mali za Tanzania ni Wapinzani kumbe wao ndio walioiba na wengine wakajenga mpaka huko Afrika ya kusini.
Hata Libya walificha Mali nyingi ni Waliokuwa madarakani.
Hata Iraq walioina na kuficha Mali nyingi ni Familia ya Sadam ; sasa huo uzalendo ni upi?