Uhakiki
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,288
- 7,704
Hujui kwamba kumchagua Rais wa Zanzibar si suala la muungano?Kama raia wa JMT
Unaiwekaje JMT kwenye, mambo yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui kwamba kumchagua Rais wa Zanzibar si suala la muungano?Kama raia wa JMT
Acha utani .Mtakumbuka CCM na Rais Magufuli kwani hata Kenya walimwita hayati Rais Moi Dictator. Walimwondoa kwa mbwembwe na kupata katiba mpya lakini leo wakenya wamekuwa masikini kuliko enzi ya utawala wa Rais Moi na Ufisadi umezidi kuwa mbaya sana. Tundu Lissu katika kampeni zake ameipa somo zuri sana CCM na nategemea CCM itafanyia kazi. President Magufuli still is the best for this country
Sasa mdau kamtaja Trump au kaitaja Marekani?!!Hujui hata Rais Donald Trump wa Marekani ni Dictator pia.
😂😂🤣Unaweza kukuta jina lako hapo ukiendelea chini ya orodha.
Lini maamuzi yake ya kidikteta yamewahi tiiwa na mamlaka za USA.Hujui hata Rais Donald Trump wa Marekani ni Dictator pia.
Hii ni mikuki ya kujichoma, kwani hatuwezi kujenga SGR bila kutekana, kupotezana, kutungiana Sheria za kukomoana????.Uko sahihi kwa asilimia 100! Naweka mkazo pale unaposema Watanzania tuache ushabiki wa kisiasa kwani Marekani wanapenda kukumbatia viongozi mafisadi. Tumeona barua aliyoandika mwanasheria wa Lissu akimuonya JPM kwa maneno makali kama vile anamuonya mtoto wake.
Umetoa mifano ya Venezuela na Bolivia ambazo zilikuwa zikijitutumua kulinda uchumi wao. Vivyo hivyo hata kwa Iraq na Libya. Tukaambiwa viongozi wao ni madikteta. Tunajionea wenyewe 'demokrasia' iliyofuatia kuuawa kwa Saddam Hussein na Moamar Gaddafi. Watanzania tujifunze kutokana na historia hiyo.
Tabia ya mtu ni ngozi amini nakuambia atakuwa worse 100 times.Uncivilized and uneducated man never changeKama kweli ataweza kuyarekebisha hayo atakuwa ni best President.
Japo alitakiwa aanze kwenye mchakato huu wa uchaguzi, hawa wateule wake wanavurunda sana mchakato wa uchaguzi na yeye ndiye rais , nadhani anaweza fanya jambo kutuliza munkali wa maofisa wa tume ya uchaguzi.
Pamoja tuistawishe amani ya nchi yetu.
Mabeberu hawataki watu wajitambue na kujitegemea. Hupenda watu wanaowapigia magoti na kutembeza bakuli, wasiojua hakuna cha bure duniani. Sasa kiongozi anayewasanua watu wake, huwa kikwazo kwao. Ila huwapenda watu kama chama cha Mbowe, na Zitto wenye kujipendekeza na kuwalamba miguu.
Mtakumbuka CCM na Rais Magufuli kwani hata Kenya walimwita hayati Rais Moi Dictator. Walimwondoa kwa mbwembwe na kupata katiba mpya lakini leo wakenya wamekuwa masikini kuliko enzi ya utawala wa Rais Moi na Ufisadi umezidi kuwa mbaya sana. Tundu Lissu katika kampeni zake ameipa somo zuri sana CCM na nategemea CCM itafanyia kazi. President Magufuli still is the best for this country
[/QUOTE
Lkn haiondoi udikteta wa Moi kwani moi hana sifa za udikteta? Moi ameua watu wengi tu kila mtu anajua hata yeye siku chache kabla ya kwenda kuzimu alikiri.Nchi zote za afrika baada ya Uhuru miaka ya mwanzo mwanzo zilikuwa na uchumi mzuri tu ni baada ya kuachiwa pesa na vitegauchumi na wakoloni hata Nyerere aliachiwa Mali nyingi Sana na wakoloni suala la kuwa masikini wakulaumiwa ni sisi waafrika kwa sera zetu mbovu na sio kuwalaumu wengine
Uko sahihi kwa asilimia 100! Naweka mkazo pale unaposema Watanzania tuache ushabiki wa kisiasa kwani Marekani wanapenda kukumbatia viongozi mafisadi. Tumeona barua aliyoandika mwanasheria wa Lissu akimuonya JPM kwa maneno makali kama vile anamuonya mtoto wake.
Umetoa mifano ya Venezuela na Bolivia ambazo zilikuwa zikijitutumua kulinda uchumi wao. Vivyo hivyo hata kwa Iraq na Libya. Tukaambiwa viongozi wao ni madikteta. Tunajionea wenyewe 'demokrasia' iliyofuatia kuuawa kwa Saddam Hussein na Moamar Gaddafi. Watanzania tujifunze kutokana na historia hiyo.
Kuua watu, kuteka, kubambikia watu makesi ndo maslahi ya Taifa???Baada ya Rais Magufuli kuingia madarakani na kuamua Tanzania iwe nchi inayojitegemea katika masuala yake za kiuchumi pamoja na kuleta mageuzi makubwa katika mikataba ya madini na uwindaji wanyama imekuwa kero kubwa kwa hawa wa Marekani.
Namkumbuka baada ya Rais Magufuli kuingia madarakani kundi la maseneta waliwasili na kujaribu kuonana na Rais Magufuli lakini hawakufanikiwa.
Tumeona huko Venazuela na Bolivia jinsi serikali za nchi hizo zillizopata misukosuko baada ya kuvunja mikataba na makampuni za kinyonyaji za Marekani.
Watanzania tuache ushabiki wa kisiasa ni Rais Magufuli pekee ambaye atatuvusha watanzania kuelekea taifa lenye uchumi imara. Hawa wa Marekani wanapenda kukumbatia viongozi mafisadi.
Unaakili sana we jamaa..Baada ya Rais Magufuli kuingia madarakani na kuamua Tanzania iwe nchi inayojitegemea katika masuala yake za kiuchumi pamoja na kuleta mageuzi makubwa katika mikataba ya madini na uwindaji wanyama imekuwa kero kubwa kwa hawa wa Marekani.
Namkumbuka baada ya Rais Magufuli kuingia madarakani kundi la maseneta waliwasili na kujaribu kuonana na Rais Magufuli lakini hawakufanikiwa.
Tumeona huko Venazuela na Bolivia jinsi serikali za nchi hizo zillizopata misukosuko baada ya kuvunja mikataba na makampuni za kinyonyaji za Marekani.
Watanzania tuache ushabiki wa kisiasa ni Rais Magufuli pekee ambaye atatuvusha watanzania kuelekea taifa lenye uchumi imara. Hawa wa Marekani wanapenda kukumbatia viongozi mafisadi.
Mafisadi wote wako CCM na ndio maana Marekani haijawahi kuwagusa. Mara nyingi wamekua wakiisifia na hata kuwapandisha Daraja kuwa wapo Uchumi wa kati wakati mamiloni ya watanzania ni maskini .Uko sahihi kwa asilimia 100! Naweka mkazo pale unaposema Watanzania tuache ushabiki wa kisiasa kwani Marekani wanapenda kukumbatia viongozi mafisadi. Tumeona barua aliyoandika mwanasheria wa Lissu akimuonya JPM kwa maneno makali kama vile anamuonya mtoto wake.
Umetoa mifano ya Venezuela na Bolivia ambazo zilikuwa zikijitutumua kulinda uchumi wao. Vivyo hivyo hata kwa Iraq na Libya. Tukaambiwa viongozi wao ni madikteta. Tunajionea wenyewe 'demokrasia' iliyofuatia kuuawa kwa Saddam Hussein na Moamar Gaddafi. Watanzania tujifunze kutokana na historia hiyo.
Maghufuli aweza kuwa Rais bora, tatizo lake kubwa siyo democrat . Unapofanya vizuri lakini kila siku unatunga sheria za kudhibiti na kukandamiza raia wako. Then mwisho wa siku hufaiBaada ya Rais Magufuli kuingia madarakani na kuamua Tanzania iwe nchi inayojitegemea katika masuala yake za kiuchumi pamoja na kuleta mageuzi makubwa katika mikataba ya madini na uwindaji wanyama imekuwa kero kubwa kwa hawa wa Marekani.
Namkumbuka baada ya Rais Magufuli kuingia madarakani kundi la maseneta waliwasili na kujaribu kuonana na Rais Magufuli lakini hawakufanikiwa.
Tumeona huko Venazuela na Bolivia jinsi serikali za nchi hizo zillizopata misukosuko baada ya kuvunja mikataba na makampuni za kinyonyaji za Marekani.
Watanzania tuache ushabiki wa kisiasa ni Rais Magufuli pekee ambaye atatuvusha watanzania kuelekea taifa lenye uchumi imara. Hawa wa Marekani wanapenda kukumbatia viongozi mafisadi.
Uchaguzi umeshapita na mshindi tayari anajulikana ndio maana unasikia mambo mengine off the field. Vitisho kamwe havitawexa kuwa suluhisho.Baada ya Rais Magufuli kuingia madarakani na kuamua Tanzania iwe nchi inayojitegemea katika masuala yake za kiuchumi pamoja na kuleta mageuzi makubwa katika mikataba ya madini na uwindaji wanyama imekuwa kero kubwa kwa hawa wa Marekani.
Namkumbuka baada ya Rais Magufuli kuingia madarakani kundi la maseneta waliwasili na kujaribu kuonana na Rais Magufuli lakini hawakufanikiwa.
Tumeona huko Venazuela na Bolivia jinsi serikali za nchi hizo zillizopata misukosuko baada ya kuvunja mikataba na makampuni za kinyonyaji za Marekani.
Watanzania tuache ushabiki wa kisiasa ni Rais Magufuli pekee ambaye atatuvusha watanzania kuelekea taifa lenye uchumi imara. Hawa wa Marekani wanapenda kukumbatia viongozi mafisadi.
Usidanganyike mkuu Marekani anapenda sana kuona nchi inakuwa failed state ili waibe mali asili mfano halisi ni huko Syria kwasasa Wamarekani wanaiba mafuta nchini humo baada ya kuanzisha vita kwa jina la demokrasia..Mabeberu wanapenda nchi zenye amani na viongozi walarushwa ili wazinyonye vizuri.
..Tanzania na Magufuli wanavyo vigezo nilivyovitaja hapo juu.
..Amani ikikosekana hapa Tanzania, makampuni ya madini kama Barrick hayataweza kuchimba madini.
..Pia kukiwa hakuna kiongozi fisadi kama Jiwe, Tanzania haitanunua midege tusiyoihitaji toka kwa mabeberu.
..Kwa hiyo Mabeberu kama Marekani wanapenda Tanzania iwe na amani, na zaidi iwe na kiongozi fisadi anayewapelekea mapesa ya bure kama Jiwe na miradi yake ya ununuzi wa midege[dreamliners] tusiyoihitaji.
cc Chige
www.voanews.com
Dadangu nitarudia tena na tena!!!Narudia tena,jinsi unavyotype tu inadhihirisha wewe ni shoga. Endelea kuliwa makalio lakini ukimatwa ndio utakuja kujua ni kosa la jinai.