Hii pumba uliyoandika hapa haiendani kabisa na umri wako. Daah
Nitakutumia kitabu, in soft copy ujue ukweli wa unchokiuBaada ya Rais Magufuli kuingia madarakani na kuamua Tanzania iwe nchi inayojitegemea katika masuala yake za kiuchumi pamoja na kuleta mageuzi makubwa katika mikataba ya madini na uwindaji wanyama imekuwa kero kubwa kwa hawa wa Marekani.
Namkumbuka baada ya Rais Magufuli kuingia madarakani kundi la maseneta waliwasili na kujaribu kuonana na Rais Magufuli lakini hawakufanikiwa.
Tumeona huko Venazuela na Bolivia jinsi serikali za nchi hizo zillizopata misukosuko baada ya kuvunja mikataba na makampuni za kinyonyaji za Marekani.
Watanzania tuache ushabiki wa kisiasa ni Rais Magufuli pekee ambaye atatuvusha watanzania kuelekea taifa lenye uchumi imara. Hawa wa Marekani wanapenda kukumbatia viongozi mafisadi.
Duuh huko Libya na Iraq wanakoiba mafuta kuna amani??..Ndio ukweli wenyewe huo.
..Mabeberu wanapenda nchi yenye amani, na kiongozi fisadi.
..Mfano mzuri ni Zaire ile ya enzi za Mobutu Sese Seko.
..Ni urongo kudai mabeberu huanzisha vita ili waibe rasilimali zetu.
..Hivi unafikiri mabeberu wakianzisha vita hapa Tanzania wataweza vipi kusafirisha makinikia?
..Vita huwa tunaanzisha Waafrika wenyewe kutokana na kudhulumiana ktk uchaguzi na siasa.
Duuh
Duuh huko Libya na Iraq wanakoiba mafuta kuna amani??
Huko Afghanistan wanakolima Opium kuna amani??
Venezuela wanayoitingisha ili waibe mafuta??
Daah.