Kwanini Marais wastaafu? Ni upendeleo?

Brilliant message
 
umetokwa povu bila sababu za msingi kiongozi.

vyote alivyovifanya bi samia viko kwa mujibu wa katiba na sheria,kulikuwa na ulazima gani wa kuvifanya special mpaka namna hii kuonekana anapuuza mambo mazito zaidi!!!!
wacha nikuelimishe,jk mfano tu ana mansion msoga,ana jumba mikocheni,na hilo alilopewa leo,inatakiwa ajaliwe namna gani mpaka ionekane sasa katunzwa mzee wetu!!!!

mzee mwinyi ana nyumba zanzibar,ana nyumba msasani na ile alipewa na marehem mwendazake nayo ni nyumba haswaa,bado kijana wake ni amiri jeshi kisiwani.jana ilifaa mama aseme"mzee nakubadirishia gari upewe fupi inayoendana na wewe"sio nakuzawadia gari nyingine,halafu wazee wote wastaafu wana gari ndefu zisizowafaa akiwemo mzee msuya,sijui kama mama yenu ana taarifa.au kamwona mwinyi peke yake.

serikali yenyewe imeweka utaratibu wa kuwatunza wazee hao,makazi,malipo 80%,matibabu daraja la kwanza,ulinzi na makazi bora.haifai mtu yeyote kuja kufanya ni kama zawadi,maana analazimika kufanya hayo.
 
Nashukuru nimeshuhudia nikiwa na akili zangu timamu kipindi Cha mwisho Cha mkapa, kipindi chote Cha kikwete, kipindi Cha magufuli, na kipindi hiki Cha Samia.

Katika vipindi vyote vya uongozi wa hao ndugu hakujawahi kukosekana ukosoaji kutoka kwa wananchi.

Nashukuru pia Mimi nimejiweka pepeni kwenye ukosoaji maana hakuta kuja kwa na kiongozi mwenye kuwawaridhisha wote katika yote ayafanyayo.

Badala yake nimekua nikiangalia kila kifanyikacho kwa jicho la kuto kukosoa ili amani ya moyo indelee kuwepo kwa kiongozi wangu.

Poleni mno wanaharakati .
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na bado!

Si ulikuwa unademkia humu huku ukijifanya unamkomoa marehemu?

Mpaka 2025 mtaona rangi zote!
tumwombee marehemu apumzike.

alitabiri tutamkumbuka akidhani itachukua miaka kadhaa,ila dalili zinavyoonyesha hata miezi 5 inaweza isiishe[emoji23][emoji23][emoji23].

kwakweli sipendi mama akosee,naumia mnoo,lakini ndio upande aliouchagua.nabaki naumia tu.
 
Hivi toka Samia ameingia Madarakani Miezi 2 sasa kashazindua mradi wowote?

Pesa alizochota kikwete bado unamjengea nyumba ya nini?

Wewe una akili.
Mkuu weka kumbukumbu sawa..suala la nyumba ya JK alilimaliza mwenyewe Magufuli tena live kwenye Tv. Wewe ulikuwa wapi..Kwahiyo wote tu-flow na wewe sababu hukuona ?!? Ongelea lingine sio la nyumba.
 
hayo yote yapo kisheria..

na siyo Mama samia..
Hizi sheria zilivyokaa utajua tu zilipitishwa na Bunge utopolo lenye wengi ccm... hata wakoloni haya mambo hawakufanta... ni utopolo mtupu kuendelea kuwapa nyumba wastaafu... mishara yao na marupurupu yote wanafanyia nini? Maana hata kuhonga nyumba ndogo hawawezi labda kama wanatumia viagra...
 

Hivi toka Samia ameingia Madarakani Miezi 2 sasa kashazindua mradi wowote?

Pesa alizochota kikwete bado unamjengea nyumba ya nini?

Wewe una akili.
kwahiyo unatakakusema hizo siku 53 alizokaa madalakani ameweza kujenga nyumba na kumalizika?

unashindwa hatakufikilia kakitu kadogo hivyo mkuu!!
 
Unachosema ninakubaliana nacho 100%
Watumishi kada za juu wanamishahara minono na pension zao ni nono.

Kada za chini wanatumikia nchi maisha yao yote 30 good years lakini hata viinua mgongo vyao na pension zinazotajwa kwa mujibu wa sheria zinabadillishwa na rais na kubalikiwa na hayo makondoo ya b*ngeni

hawa wa kada za chini ni lini hata maslahi yao yataangaliwa ni nani atawatetea ikiwa hata fedha zao ndizo nzuri kujengea mabwawa ya umeme na reli za miendokasi
 
Watoto wa juzi hawa 2003 hawawezi kuelewa hussle za washua enzi za unga wa Yanga!πŸ€“πŸ€“πŸ€“
 
kwahiyo unatakakusema hizo siku 53 alizokaa madalakani ameweza kujenga nyumba na kumalizika?

unashindwa hatakufikilia kakitu kadogo hivyo mkuu!!

Kama hajajenga kwa nini apata lawama, kwa nini haya hayakusemwa kabla? Pia mleta hoja hajaleta recommendation(s) nini kifanyike kama kweli nia yake ni kujenga na sio kulaumu.
 
Muda unavyokwenda watanzania ulevi wa kusifu na kuabudu unaanza kuisha soon mtaanza kugundua huyu si yule tunaemngoja
Naona kilevi kimechanganywa na magadi! Akili zinarejea kwa kasi kila mtu anatapika shombo la gongo 😸😸😸
 
Unaumia kiukweli au ni wivu tu kwa Mzee Mwinyi kununuliwa zawadi ya Benzi ambalo pengine huna na hutokaa ulipate.
Nilichogundua ni kuwa % kubwa ya Watanzania wamejaa wivu na unafiki wa kijinga.

Sorry just kidding πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kosa wna
Kama hajajenga kwa nini apata lawama, kwa nini haya hayakusemwa kabla? Pia mleta hoja hajaleta recommendation(s) nini kifanyike kama kweli nia yake ni kujenga na sio kulaumu
huyo mleta mada ni polepole,tangu mwendazake ajiondokee anaogopa kujitokeza hadhalani, alitetea sana ujinga alifikili mungu sawa na athumani.
 
Mtasema Sana mlizoea comedy za mapapai.Endeleeni kuwa wanyonge.
Karibu tuuze mahindi Kenya
 
Mbona ujazungumzia ukuta wa nyumbani kwake mwendazake hio gharama ungejenga shule ngapi
 
Kama walifanya Sacrifice ni kwa sababu waliomba hiyo kazi na tulikuwa tunawalipa, tena hata kodi tulikuwa hatuwatozi!

Hiyo siyo tiketi ya wao "kula" mpaka "kuvimbiwa" kwa sababu bado wana marupurupu yao ya kutosha ambayo kodi zetu bado zinahusika, Sasa kwa nini waendelee kujilimbiizia mavitu wasiyohitaji au kutwaa mavitu ambayo pensheni yao nono inawatosheleza kujitegemea?

WAJITEGEMEE KWA PENSHENI ZAO WASIGEUKE WANYONYAJI

Nchi bado masikini sana hii
 
Hivi toka Samia ameingia Madarakani Miezi 2 sasa kashazindua mradi wowote?

Pesa alizochota kikwete bado unamjengea nyumba ya nini?

Wewe una akili.
Umemuelewa alichoandika? Hiyo nyumba kajenga Mh. Samia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…