goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,149
hicho ulichoulizaProf Palamagamba alivunja nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Polisi ni wavuta bange...
hiyo movie mkuu, nadhani ni ile Vinatage point?Kuna action moja niliona kwa wenzetu jamaa walikuwa wanaweka ulinzi kwa ajiri ya raisi gafla mlinzi mmoja akaona panzia ktk chumba kimoja cha hotel ya ghorofa limecheza,ikabidi amwambie jamaa wa kwenye computer room kuw anamashaka na kile chumba yule jamaa aka scan kile chumba akaona watu wanafany tu mapenzi ikabidi amwambie jamaa kupo fresh wala asiwe na wasiwasi.technologia kama izo sisi huku hatuna
Embu onyesha picha ya wanajeshi wakimlinda rais wa jmtz.Polisi ni kulinda jamii na watu wake.
Lakini jeshi ni kulinda nchi na watu wake.
Na pia rais ni mkubwa ndio anaongoza nchi kwa hiyo ni lazima awe na ulinzi wa uhakika ambalo ni jeshi la wananchi, kwa tanzania tunaita ( JWTZ )
Hata nchi zingine marais hulindwa na wanajeshi.
wew hata huko nje wanabeba silaha tena nzito zaidi yetu angalia ziara ya rais wowot wa usa, rais akiwa na ziara maalumu wapo special force, hadi navy wakati mwingi so usimuambie mwenzako usilolijuaKutokana na usalama kuwa mdogo san tofauti na nchi za ulaya zilizoendelea.unakuta wana technologia ya hali ya juu katika ulinzi wa viongozi ndo maana ukuti wanabeba siraha ovyo,unakuta tu wamepiga suti zao
Wrong approach ingawa nimependa deduction! National Defence College ni ulinzi wa usimamizi wa uchumi na maadili mahusiano ya kitaifa kwa taasisi, watu binafsi na sekta zote chini ya nchi na kimataifa kwa upana na malengo ya kila kinachofanyika kama ni siasa n.k.Mkuu maadc huwa ni huwa wanarank kuanzia meja hadi kanali.
Ila jeshi ndio wameweka utaratibu wa kuwaweka maadc wa marais wanaingia wakiwa na rank ya luteni kanali. Na hii nadhani ni kwa sababu "mtu" mwenye vigezo vya kuwa adc huko jeshini akishafikia cheo cha luteni kanali ni tayari kamaliza kozi zote za uongozi na kivita.
Sasa ile kozi maalumu ya National defence college a.k.a kozi ya kuingia katika ""u" system" ambayo huwa inahudhuriwa na Maafisa waandamizi kutoka majeshi yote(hapa namaanisha maACP's wa polisi,magereza,uhamiaji,zimamoto n.k pamoja na maafisa wenye cheo cha kanali JWTZ) hii kozi hao ma"ADC" hawaihitaji kwa sababu wao tayari wapo tangia zamani hukoooooooooo kwenye "system"
Kwa hiyo ni kama sheria sasa maADC wanaanza jukumu la uADC wakiwa na cheo cha luteni kanali.
REFERENCES
Huyu ADC wa sasa wa Magufuli ambae ni kanali Mkeremy na yule aliekuwa ADC wa JK ambae sasa ni Brigedia Kimario.
ukimwambia special force ataelewaMkuu wale jamaa sio JWTZ..ni kikosi maalumu cha ulinzi wa raisi yan hata JWTZ hawaingii ndani..wao ni most elite forces than any unit in the country kwa sababu raisi, as a president anaface many threats from domestic and foreign ones so ukisema uweke polisi utakuwa hufanyi chochote yan ni sawa na kulinda benki kuu kwa mkuki au kirungu..u know wat is gonna happen "WAZEE wa kazi' wakivamia[emoji2]..
Sent using Jamii Forums mobile app
Swalama waheshimiwa!
Mara kadhaa nimekuwa nikijiuliza kwanini marais wetu wanalindwa na jeshi la wananchi (JWTZ), Kwa sababu mimi nijuavyo kazi ya jeshi la wananchi ni kulinda usalama wa mipaka yetu!
Jukumu la usalama wa raia na mali zao limewekwa kwa jeshi la polisi!
Sasa, kwanini Marais wetu wanalindwa na JWTZ? Au hawauamini ulinzi wa polisi? Kwanin bodguard wa Rais asiwe polisi?
Dhumuni la hoja yangu ni kujua ukweli na kujifunza pia, kwa hiyo kukosoa ni ruksa.
KARIBUNI.
Hahahaaaaa,,,,,,,Embu onyesha picha ya wanajeshi wakimlinda rais wa jmtz.
Ulinzi wa Rais unafanywa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama yaani JWTZ, Polisi na Usalama wa Taifa. Ulinzi wa rais usifikiri unacover eneo alipo Rais kwa wakati huo pekee ni zaidi ya hapo mkuu!! Kuna invisible wengi zaidi ya hao unaowaona sehemu alipo Rais.Mkuu wale jamaa sio JWTZ..ni kikosi maalumu cha ulinzi wa raisi yan hata JWTZ hawaingii ndani..wao ni most elite forces than any unit in the country kwa sababu raisi, as a president anaface many threats from domestic and foreign ones so ukisema uweke polisi utakuwa hufanyi chochote yan ni sawa na kulinda benki kuu kwa mkuki au kirungu..u know wat is gonna happen "WAZEE wa kazi' wakivamia[emoji2]..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nalitambua hilo..nilitoa maelezo yangu nikibase kwa askari husika wa usalama wa raisi. Unachokesima ni sahihi pia.Ulinzi wa Rais unafanywa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama yaani JWTZ, Polisi na Usalama wa Taifa. Ulinzi wa rais usifikiri unacover eneo alipo Rais kwa wakati huo pekee ni zaidi ya hapo mkuu!! Kuna invisible wengi zaidi ya hao unaowaona sehemu alipo Rais.
Itakuwa kweli kwasababu huwa halindi chiochote zaid ya kumfuatilia nyumanyuma tu, na kazi hiyo hufanywa na usalama wa taifa ambao hutokana na polisi.Yulĕ siyo mlinzi ni mpambe kuonyesha kuwa ni amiri jeshi mkuu na hizo ndiyo taratibu.
Sent using Jamii Forums mobile app