Kwanini marais wetu wanalindwa na JWTZ badala ya Polisi?

Kwanini marais wetu wanalindwa na JWTZ badala ya Polisi?

Polisi ni kulinda jamii na watu wake.

Lakini jeshi ni kulinda nchi na watu wake.

Na pia rais ni mkubwa ndio anaongoza nchi kwa hiyo ni lazima awe na ulinzi wa uhakika ambalo ni jeshi la wananchi, kwa tanzania tunaita ( JWTZ )

Hata nchi zingine marais hulindwa na wanajeshi.
 
Mkuu wale jamaa sio JWTZ..ni kikosi maalumu cha ulinzi wa raisi yan hata JWTZ hawaingii ndani..wao ni most elite forces than any unit in the country kwa sababu raisi, as a president anaface many threats from domestic and foreign ones so ukisema uweke polisi utakuwa hufanyi chochote yan ni sawa na kulinda benki kuu kwa mkuki au kirungu..u know wat is gonna happen "WAZEE wa kazi' wakivamia[emoji2]..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umewai kusikiliza kiapo cha wanajeshi? Karibu kufuatilia kule kiapo. Ndio sababu ya......... Marais wote duniani wanalindwa na wanajeshi. Has a wanapo kagua kikosi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna action moja niliona kwa wenzetu jamaa walikuwa wanaweka ulinzi kwa ajiri ya raisi gafla mlinzi mmoja akaona panzia ktk chumba kimoja cha hotel ya ghorofa limecheza,ikabidi amwambie jamaa wa kwenye computer room kuw anamashaka na kile chumba yule jamaa aka scan kile chumba akaona watu wanafany tu mapenzi ikabidi amwambie jamaa kupo fresh wala asiwe na wasiwasi.technologia kama izo sisi huku hatuna
hiyo movie mkuu, nadhani ni ile Vinatage point?
 
Polisi ni kulinda jamii na watu wake.

Lakini jeshi ni kulinda nchi na watu wake.

Na pia rais ni mkubwa ndio anaongoza nchi kwa hiyo ni lazima awe na ulinzi wa uhakika ambalo ni jeshi la wananchi, kwa tanzania tunaita ( JWTZ )

Hata nchi zingine marais hulindwa na wanajeshi.
Embu onyesha picha ya wanajeshi wakimlinda rais wa jmtz.
 
Kutokana na usalama kuwa mdogo san tofauti na nchi za ulaya zilizoendelea.unakuta wana technologia ya hali ya juu katika ulinzi wa viongozi ndo maana ukuti wanabeba siraha ovyo,unakuta tu wamepiga suti zao
wew hata huko nje wanabeba silaha tena nzito zaidi yetu angalia ziara ya rais wowot wa usa, rais akiwa na ziara maalumu wapo special force, hadi navy wakati mwingi so usimuambie mwenzako usilolijua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu maadc huwa ni huwa wanarank kuanzia meja hadi kanali.

Ila jeshi ndio wameweka utaratibu wa kuwaweka maadc wa marais wanaingia wakiwa na rank ya luteni kanali. Na hii nadhani ni kwa sababu "mtu" mwenye vigezo vya kuwa adc huko jeshini akishafikia cheo cha luteni kanali ni tayari kamaliza kozi zote za uongozi na kivita.

Sasa ile kozi maalumu ya National defence college a.k.a kozi ya kuingia katika ""u" system" ambayo huwa inahudhuriwa na Maafisa waandamizi kutoka majeshi yote(hapa namaanisha maACP's wa polisi,magereza,uhamiaji,zimamoto n.k pamoja na maafisa wenye cheo cha kanali JWTZ) hii kozi hao ma"ADC" hawaihitaji kwa sababu wao tayari wapo tangia zamani hukoooooooooo kwenye "system"

Kwa hiyo ni kama sheria sasa maADC wanaanza jukumu la uADC wakiwa na cheo cha luteni kanali.

REFERENCES
Huyu ADC wa sasa wa Magufuli ambae ni kanali Mkeremy na yule aliekuwa ADC wa JK ambae sasa ni Brigedia Kimario.
Wrong approach ingawa nimependa deduction! National Defence College ni ulinzi wa usimamizi wa uchumi na maadili mahusiano ya kitaifa kwa taasisi, watu binafsi na sekta zote chini ya nchi na kimataifa kwa upana na malengo ya kila kinachofanyika kama ni siasa n.k.

Haina uhusiano na u aide de camp na elimu yake ni ya juu sana yenye uhusiano na ya kiraia. Ndo maana waalimu wengi wa pale ni akina Lipumba, bilal, Mengi na wahadhiri wa mlimani na wageni wenye elimu hizo.

Wateja wa hiyo kozi ni wabunge, watu binafsi wenye marengo fulani katika jamii, viongozi wa serikali na vyombo vyote vya dola kwa watu wenye kutekeleza majukumu yanayotoka nje ya utendaji wa kawaida wa vyombo hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia kwa dhamana mbunge wa Singida Mashariki Mhe.Tundu Lissu, kinyume na maombi yaliyowekwa na mawakili wa Jamhuri ya kuzuia asipewe dhamana.

Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Wilbard Mashauri amesema, baada ya kupitia hoja za serikali na majibu ya mawakili wa utetezi, haoni mantiki ya kuzuia dhamana kwa Lissu. Hivyo mahakama hiyo imemuachia Lissu kwa masharti ya kuwa na wadhamini wawili watakaosaini bondi ya Sh.10 milioni, kila mmoja.!
 
Mkuu wale jamaa sio JWTZ..ni kikosi maalumu cha ulinzi wa raisi yan hata JWTZ hawaingii ndani..wao ni most elite forces than any unit in the country kwa sababu raisi, as a president anaface many threats from domestic and foreign ones so ukisema uweke polisi utakuwa hufanyi chochote yan ni sawa na kulinda benki kuu kwa mkuki au kirungu..u know wat is gonna happen "WAZEE wa kazi' wakivamia[emoji2]..

Sent using Jamii Forums mobile app
ukimwambia special force ataelewa
 
Kwa JPM wale si wanajeshi zile ni uniform tu bali ni wana usalama. Nimeipata hii toka kwa mwanajeshi.
Swalama waheshimiwa!

Mara kadhaa nimekuwa nikijiuliza kwanini marais wetu wanalindwa na jeshi la wananchi (JWTZ), Kwa sababu mimi nijuavyo kazi ya jeshi la wananchi ni kulinda usalama wa mipaka yetu!
Jukumu la usalama wa raia na mali zao limewekwa kwa jeshi la polisi!

Sasa, kwanini Marais wetu wanalindwa na JWTZ? Au hawauamini ulinzi wa polisi? Kwanin bodguard wa Rais asiwe polisi?

Dhumuni la hoja yangu ni kujua ukweli na kujifunza pia, kwa hiyo kukosoa ni ruksa.
KARIBUNI.
 
Mkuu wale jamaa sio JWTZ..ni kikosi maalumu cha ulinzi wa raisi yan hata JWTZ hawaingii ndani..wao ni most elite forces than any unit in the country kwa sababu raisi, as a president anaface many threats from domestic and foreign ones so ukisema uweke polisi utakuwa hufanyi chochote yan ni sawa na kulinda benki kuu kwa mkuki au kirungu..u know wat is gonna happen "WAZEE wa kazi' wakivamia[emoji2]..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulinzi wa Rais unafanywa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama yaani JWTZ, Polisi na Usalama wa Taifa. Ulinzi wa rais usifikiri unacover eneo alipo Rais kwa wakati huo pekee ni zaidi ya hapo mkuu!! Kuna invisible wengi zaidi ya hao unaowaona sehemu alipo Rais.
 
Nalitambua hilo..nilitoa maelezo yangu nikibase kwa askari husika wa usalama wa raisi. Unachokesima ni sahihi pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili jambo limeshatolewa ufafanuzi mara nyingi sana hapa jukwaani.. Yule afisa wa Jeshi anayesimama nyuma ya Rais siyo mlinzi bali ni Msaidizi wa Rais( 'Aide-de-Camp' au ADC) na pia ni alama ya Rais kama Amiri Jeshi Mkuu. Kuna wakati ADC wa Mwalimu Nyerere alitokea Jeshi la Polisi. Alikuwa Philemon Mgaya ambaye baadaye alikuwa IGP.
Wale wengine wanaomzunguka Rais waliovalia suti au 'safari suit' ndiyo Walinzi wa Rais. Kazi yao ni kumkinga Rais pale linapotokea shambulio na kumtorosha kwenda katika eneo salama.
Wale wanaovaa sare kama za Jeshi wakiwa wamebeba bunduki ni 'Counter Assault Team'. Kazi yao ni kupambana na adui linapotokea shambulizi.
Halafu kunakuwa na askari wa FFU kutoka Kikosi Maalum - 'Emergency Response Team'-ERT. Pia Kikosi cha 'VIP Protection' kutoka CID na Polisi wa waliovalia sare ('General Duties') hushiriki pia..
 
Back
Top Bottom