Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu kaaa kimya kama hujui,hao woote kwaataarifa yako ni komando kutoka jwtz wamevikwa mavazi tu hayo,sio polisi hata chembe so panua ubongo huo
WEWE VIPI?mimi bwana likanda kwa upeo wangu huu wa memkwa ni kwamba bara la africa tuna nchi 54 nchi ambazo uchaguzi unafanyika kwa haki hazifiki hata 2 sasa kwa mtindo huo wanaweka ulinzi wa hatari ili kuwalinda hawa wafalme yaani wizi ni tabia iliyokubuhu africa
Mkuu uwezi kuambiwa au kujua kama ipo au aipo.....Kuna action moja niliona kwa wenzetu jamaa walikuwa wanaweka ulinzi kwa ajiri ya raisi gafla mlinzi mmoja akaona panzia ktk chumba kimoja cha hotel ya ghorofa limecheza,ikabidi amwambie jamaa wa kwenye computer room kuw anamashaka na kile chumba yule jamaa aka scan kile chumba akaona watu wanafany tu mapenzi ikabidi amwambie jamaa kupo fresh wala asiwe na wasiwasi.technologia kama izo sisi huku hatuna
Yule nyuma yake mwenye sare sio mlinzi ni mpambe wa rais.
Walinzi ni wale watu wa usalama wenye suti na polisi ffu pembeni yao.
Mbona hata wale sio wanajeshi wa jwtz.Nadhani muuliza swali hamaanishi yule. Anataka kujua why ule msitu wa masoja kwa mfano siku ile Pombe ameenda Kirumba mwanza au Sabasaba. Mimi sijui jibu ila nadhani watu wa karibu na Rais hawana imani kabisa na polisi wetu, ukichukulia the way wanavyouawa hovyo kwenye ambushes mbalimbali.
Dah na hapo inabid uwe good observe mzuri sana Kama mlinzi wa raisiKuna action moja niliona kwa wenzetu jamaa walikuwa wanaweka ulinzi kwa ajiri ya raisi gafla mlinzi mmoja akaona panzia ktk chumba kimoja cha hotel ya ghorofa limecheza,ikabidi amwambie jamaa wa kwenye computer room kuw anamashaka na kile chumba yule jamaa aka scan kile chumba akaona watu wanafany tu mapenzi ikabidi amwambie jamaa kupo fresh wala asiwe na wasiwasi.technologia kama izo sisi huku hatuna
[emoji15] [emoji15] [emoji15] kumbe haifai hata kwenda na pini anapohutubia Rais nilikuwa sijuwMkuu uwezi kuambiwa au kujua kama ipo au aipo.....
Ila ni juzi tu Msanvu alipopita Raisi kuna jamaa alikua anakula mishikaki, alipifika Raisi, akaenda na spoki mbili mkononi kwenye mkutano, gafla akaja jamaa akamuuliza Ww ni nani na spoku hizo za nini!? Jamaa akajibu nimetoka kula mishikaki, basi yule ofsa akanusa mikono ya jamaa, akamwambia tupa izo spoku, kisha akabofya akatoa taarifa kua ni raia mwema.......
Mkuu Uspime Sumu kwa kuilamba......!
[emoji15] [emoji15]Kuna action moja niliona kwa wenzetu jamaa walikuwa wanaweka ulinzi kwa ajiri ya raisi gafla mlinzi mmoja akaona panzia ktk chumba kimoja cha hotel ya ghorofa limecheza,ikabidi amwambie jamaa wa kwenye computer room kuw anamashaka na kile chumba yule jamaa aka scan kile chumba akaona watu wanafany tu mapenzi ikabidi amwambie jamaa kupo fresh wala asiwe na wasiwasi.technologia kama izo sisi huku hatuna
Don't judge the book by looking the cover.Mbona hata wale sio wanajeshi wa jwtz.
Mwanajeshi pale ni mmoja tu,wale waliovalia kombat nyeusi ni watu wa tiss.
Polisi wapo siku zote pale ikulu,mpaka kwenye msafara ni wale ffu,kufa kwao ktk ambushi hakuhusiani kabisa na ulinzi wa rais.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti eh.Don't judge the book by looking the cover.
Bora utulie tu ndugu.