Kwanini Marehemu Faustine Ndugulile alienda kusoma sheria (LL.B), wakati tayari alikuwa ni Daktari (MD)?

Nani wana devise WHO objectives (msingi wa hayo maamuzi).

Unafahamu implications ya WHO objectives kwenye health policies za developed nations.

Unadhani hayo ni maamuzi ya UN nations au wataalamu wachache wa developed nations.
Kwa hiyo point yako ni nini hapa?

Kama developed nations zina wataalamu wengi Waafrika nao wasisome wawe wataalamu?

What is your point?
 
You are not going to choose a legal field kwa kusoma LLB.

A lawyers studies a range of topics on his first degree.

LLB teaches you legal arguments only.

Ndani ya mwaka mmoja uwezi soma criminal law, administration law, business law, environmental law, oil and gas law; etc.

Ni kwa akili zako ndogo ndio unadhani LLB inakufanya kuwa general lawyer. For that unahitaji walau first degree ya sheria (undergraduate) law degree.

Unaandika maelezo mengi ujinga mtupu, uelewi hata; what people learn at each level.
 
Kwa hiyo point yako ni nini hapa?

Kama developed nations zina wataalamu wengi Waafrika nao wasisome wawe wataalamu?

What is your point?
Stick to your initial argument that ‘WHO ni taasisi ya dunia nzima blah blah’

Huko unakotaka kwenda sio kwa blah kama unavyotaka kuandika.

Hukujui

Leave it there, sio kuchoshana ujinga
 
Stick to your initial argument that ‘WHO ni taasisi ya dunia nzima blah blah’

Huko unakotaka kwenda sio kwa blah kama unavyotaka kuandika.

Hukujui

Leave it there, sio kuchoshana ujinga

Kwanza kabisa unabadilishabadilisha maneno mara "developed countries" mara "wazungu". Stick to one.

Marekani ni develooed country lakini si nchi ya wazungu.

Nimekufanyia immanent critique.

Tuseme nakukubalia (for the sake of argument) kuwa WHO ni taasisi ya wazungu, wao ndio waliosoma, wao ndio wanao i control.

What then? Sisi kina Ndugulile tusisome tukajiongeza tukaweza ku represent na kuchangia na kushindana kwa sababu hii ni dunia ya mzungu?

What is your point?

Mpaka hapa naona huna point unalalamika tu hii dunia ya wazungu.
 
You are not going to choose a legal field kwa kusoma LLB.
Kwahio unajua muhusika alichochagua na motive yake ya kuchagua ? Au unataka kusema unafahamu matakwa ya muhusika kuliko muhusika
A lawyers studies a range of topics on his first degree.

LLB teaches you legal arguments only.
Kwahio muhusika hakuhitaji kufahamu hizo legal arguments
Ndani ya mwaka mmoja uwezi soma criminal law, administration law, business law, environmental law, oil and gas law; etc.
Alikwambia anataka kusoma hizo au huu uzi unahusu legal prowess ya muhusika au swali ni kwanini alifanya alichofanya nadhani ungekuwa sahihi kama muhusika asingeongelewa na ungefungua UZI wa merits au lack of za kusoma / kuunganisha baadhi ya degree ningekuelewa.., Sababu ukishaweka variable ya muhusika (people have different motives) the whole equation changes...
Ni kwa akili zako ndogo ndio unadhani LLB inakufanya kuwa general lawyer. For that unahitaji walau first degree ya sheria (undergraduate) law degree.
Achana na degree au cheti cha aina yoyote kuna ma bush lawyer wala hawajawahi kuingia shule formally (sasa unaweza ukaquestion legality ya hilo jambo, ingawa on that same token huyu jamaa according to those same laws in holder wa certificate ya LLB) sasa na sababu swali ni kwanini alifanya hivyo na kuna sababu lukuki hata kama ni personal pride nadhani kuendelea kwenda huko... itakuwa going through a rabbit hole...
Unaandika maelezo mengi ujinga mtupu, uelewi hata; what people learn at each level.
Again nikisema upo Off Topic takuwa nimekutetea Uzi wenyewe unasema Kwanini mtu alifanya alichofanya alafu wewe unaongelea vitu mtu anasoma (anajifunza).., sasa unajuaje kama alichotaka kukisoma hakipo hapo aliposoma ? Sababu kama hakipo na hakina faida (faida being subjective) basi ni kosa la waliomtunuku na sio aliyesoma...
 
Kama nilivyokwambia acha kuongelea mambo usiyo na ufahamu nayo.

Msingi wa taasisi ni mission na objectives zake.

Afya objectives zake ni researched work (.it’s evidence based) kuanzia kwenye social policies, medical interventions and management.

Hiyo shughuli ya kupanga objectives kwa WHO ina wataalamu wao wa kila aina (mtihani kwako ni wataalamu wa fani ngapi).

Unadhani mkurugenzi wa WHO duniani anajiongelea tu bila ya wataalamu nyuma yake ni wazungu.

Ukitaka kujua hayo mambo zaidi elewa msingi wa sera za afya developed nations ambazo 80% ni from WHO directives na sehemu kubwa ya hao researchers wanaopendekeza hizo objectives ni wazungu.

Shida yenu ni kudhani mnaweza kujiandikia mambo kutoka vichwani; ni mfumo mmbaya sana wa elimu. Halafu unakuta mtu hana uelewa nacho lakini yupo tayari kubisha. Sector ambayo hana uelewa nayo kabisa ambayo logical reasoning yeye anatoa vitu kutoka kichwani kwake.

Elimu yetu inashidq
 
Acha kutoa vitu kutoka kichwani kwako.

Story ndefu kwenye kichwa chako unadhani umeandika vitu vya maana wakati; ujinga mtupu.

Hujui maswala ya sheria.
 
Acha kutoa vitu kutoka kichwani kwako.

Story ndefu kwenye kichwa chako unadhani umeandika vitu vya maana wakati; ujinga mtupu.

Hujui maswala ya sheria.
Hii ndio definition ya Vioja..., Kwahio na Huyu aliyesoma hii field hadi kutunukiwa hicho cheti (hajui masuala ya alichokuwa anasoma) ? Na hata kama hajui ni mbumbumbu je Wewe ndio unajua zaidi motive yake kwanini alisoma ? Sababu mimi third party tangia nimeanza kuchangia huu uzi nimekuwa nikiorodhesha what might be valid reasons...

Tusipende kuwapangia watu maisha..., Na ni kosa kuangalia maisha ya watu through your own perception....
 
Huyu alisoma kozi za ama masomo ya history so yeye anaumia kuona daktari akasoma.llb wakati yeye hawezi kusoma MD

Kuna masomo ukisoma yaani Kila kozi chuo unasoma like pcm mpaka MD unasoma ukiwa imesoma.masomo ya pcm
PCM awee MD???
LABDA PCM ya paracetamol 😀😀
 
Defend something because you understand it, sio upuuzi kutoka kichwani kwako.

Rudia post yako ya kwanza niliyo-quote.

Kusoma LLB hakumpi Ndugulile (marehemu) uelewa wote wa sifa zote ulizompa.

Baada ya hapo pust żako ni ukaidi tu kwa sababu hujui sheria, isipokuwa unatetea hiyo qualification ya LLB na hujui application yake in real life.

The nonsense is beyond, we mwenyewe uoni kwamba hujui unachoongea.
 
Mpaka sasa sijaelewa unafoka nini.

Inaonekana kama una hasira na dunia ya wazungu halafu una self hate kwa weusi tu.

Hutaki Waafrika wasome na kushindana kwenye taasisi za kimataifa kwa sababu ni za wazungu?

Is this your point?

Maana mimi nasimamia point kwamba regardless ya nani ana control WHO, Waafrika wanatakiwa kusoma na kuchangia maendeleo ya dunia na kushindana kwenye taasisi za kimataifa.

Na siishii kwenye mkurugenzi tu, mpaka kwenye wataalamu huko Waafrika wanahitaji kujiongeza. Ukiangalia Nobel za Sayansi Waafrika hatumo, kwa nini? Tunatakiwa kujiongeza. Na kujiongeza ni kusoma. Kuongeza R&D, investment kwenye science and tech, kubadiki tamaduni za kijinga etc.

Tuongeze watu kuanzia wataalamu mpaka ma directors wa WHO, kote muhimu.

What is your beef with that?
 
Ngoja nibandike hapa post yangu ya kwanza alafu tupime ni uelewa wa nani unatia mashaka

****************************************************​

Pamoja na mawazo ya wengi humu ambayo yamepelekea kwenda Off Topic hili ni swali zuri sana na naweza kusema ni swali la siku.... kama Conficius alivyosema; The man who asks a question is a fool for a minute, the man who does not ask is a fool for life.

Nikirudi kwenye mada nadhani swali lako limejikita kwenye utamaduni wa sasa wa kwamba mtu unasoma ili upate cheti na unapata cheki ili kikusaidie kwenye kipato na sio uelewe wa kupambana na mazingira yako au kukidhi matamanio yako....


K.U.N.A. (Yupo Mdau sio huyu) mdau alikuwa anakusanya degree kama stamps..., yaani anaona hii bado sina ngoja nichukue ila anafika hata wakati anapropose kwa Chuo kuanzisha Course fulani au mchanyato wa Course (kwake yeye vyeti ilikuwa challenge / prestige)... Kuna mwingine vitu vinakuja kwa urahisi au anapenda kitu fulani na alisomea kitu ambacho alikuwa hakipendi kuliko hiki na sasa hivi kapata muda. Unaweza ukawa ni Mwanakemia ila unapenda kuimba na kuna Course ya kuimba hivyo unaona kwanini nisiongeze ujuzi na kuwa certified

Sasa ingawa Muhusika simfahamu wala siwezi kujua motive yake, LAKINI pia nadhani mleta uzi una point fulani kwamba Medicine ni pana sana na kubwa na ngumu na hivyo mshika mbili huenda zote zikamponyoka..., ila katika dunia ya leo unaweza ukawa MD au Lawyer ila haufanyi practice wala ku deal na hizo issue day to day hata hadi kupata muda wa kupiga porojo kwenye siasa, Hivyo vyeti vinakuwa ni qualification za kuweza kukuuza wewe especially kwenye kazi za administration (sababu una ufahamu wa field nyingi)..., Ndio maana hata Mwinyi Rais ambaye ni MD nina uhakika sasa hivi akiamua na muda anao anaweza hata akapiga hata Masters za kutosha (na sio za kupewa bali za kufanya kabisa kazi na kutoa maandiko)

To each His/Her Own...
*******************************
Sasa nakupa benefit of doubt hapo kwenye Neno Kuna niliweka KUNA nimekuta imebadilika na kuwa**** sasa hata ukiangalia context kwamba mdau huyu alikuwa anakusanya degree kama stamps na hadi kozi ambazo hazipo anashauri Chuo Kianzishe obviously simuongelei muhusika ukizingatia kwenye paragraph inayofuata nimesema muhusika simfahamu wala siwezi kujua motive zake.... Sasa ebu niambie in that token, uelewa wa nani unatia mashaka ?

I Rest my Case...
 
Tafuta muda wa kuandika principles za health policies wa nchi yeyote ya developed nations ndio utaelewa wa foundation za hoja.

Sasa achana na health policies za taifa, wengine tushaandika kuhusu health intervention; wateja wetu washaacha kazi hospitalini degree zao tumewaandikia sisi. Sasa hivi wanamiliki carehomes.

Kuendesha hayo mambo msingi wake ni WHO directives.

Hujui

Huwezi kutoa vitu kichwani kwako tu; huna ufahamu wa operation za WHO.

Kwangu wala sio kubishana hapa nakueleza uhalisia ambao wewe mwenyewe unaujua. Mengine ukaidi tu, ain’t got no time to entertain nonsense.

👋
 
Wewe jamaa una matatizo kwani ubora wa elimu ni chuo au mhusika ? Hakuna watu
kibao wa UDSM na Mzumbe wanaofeli kule Law school kila mwaka na je
hakuna graduate wa OUT wanafaulu huko Law school?

Na hiyo LLB kwani sio degree ya kwanza? Kwa nini asiweze kutetea
maeneo mengine ya sheria? Wewe ungesema ina hitaji mtu ufanye practice
ili awe vizuri sio zaidi ya hapo.
 

Kama unatoka nje ya mada japo ulichokisema kina mantiki.

Mwenye jibu la uhakika na sahihi ni muhusika kwamba kwanini aliamua kusoma LLB.

Sifikirii lengo ilikua ni kujikita kwenye sekta ya Sheria, hata ukiangalia vyeti vyake vya ziada aliendelea kujiimarisha kwenye kwenye kada ya afya zaidi.

Ikumbukwe alikua mbunge na sioni ubaya wa kupata uelewa wa eneo flani hata kama hautaki kubobea huko.

LLB ya OUT Ina hitilafu gani? Hapakua na umuhimu wa hiyo kauli kwenye huu mjadala.
 
Ubora wa elimu sio chuo (japo unasaidia), hapo kwenye uwezo wa mtU kujenga hoja nakubali.

Iła kwa masters ya sheria, bila ya undergraduate degree ya sheria uwezi kuwa expert wa sheria.

If anything utakuwa na uelewa wa ku-argue maswala ya elimu yako ya awali tu.
 
Nakubaliana na wewe ila nikukumbushe kuwa yeye alisoma first degree sio
Master is LLB sio LLM.

Ila nakubaliana na wewe kwamba kwa umri alikuwa nao Ndugulile
na ubusy wa kazi zake asingeweza kupractice sheria kwa upana wake
zaidi angebase kwenye sheria za Afya na mambo ya uongozi na utawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…