Kwanini Marehemu Faustine Ndugulile alienda kusoma sheria (LL.B), wakati tayari alikuwa ni Daktari (MD)?

Ujanisoma kwa makini huo ndio mtazamo wangu pia.

Shida yangu ni hawa ambao wanamwita mtaalamu wa sheria going as far asto say kusema anaweza isadia nchi kwenye mikataba.

Pitia mada yote uone aina ya watu niliokuwa najibizana nao.
 
Kwani nani kasema mtu atoe vitu kichwani kwake tu?

Mbona unanipinga kwenye kitu ambacho mimi sijasema kwa kutumia a strawman argument logical fallacy?
 
Ndio ukweli wenyewe na ndio point yangu
 
Dah
Alitaka kusoma vitu vingi kujipa nafasi ya ajira nono , lol kwenye uwanja ambao employment is uncertain, his decision is quite understandable.
Mm nakadegree😁kamoja kutoa milion 8 kwenda kuchukua masters naona ni wastage of money resources
 
Kwani nani kasema mtu atoe vitu kichwani kwake tu?

Mbona unanipinga kwenye kitu ambacho mimi sijasema kwa kutumia a strawman argument logical fallacy?
Get back to your initial arguing position.

Ulianza na mambo ya WHO ni taasisi ya wote.

Tukaelezana mambo mengi to why that is not the case.

Sasa hivi hata sijui upo kwenye hadithi gani kwakweli.

I like to argue but, you can’t just put new point of views, and demand a response.

Rudi kwenye arguments żako wa WHO hiyo ndio ilikuwa discussion yetu.
 
😁
🤣Mbona unamsema boss wetu Eric shingongo amesoma OuT masters ya public administration na fourmfour kamaliza 2017, kaenda diploma,degree ndani ya hiyo miaka 7 Yan from 2017 up to 2024 kamaliza hayo madarasa yote
 
Hivyo swali langu nilitamani kufahamu umuhimu wa MD kusomea degree ya sheria ilihali tayari yeye ni specialist kwenye Afya.
Kwa hiyo kujua taaluma nyingine ni dhambi? Unawaza nini mkuu? Ni jambo jema sana kusomea sheria pia. Kwa mfano Daktari ku a wakati atatakiwa kwenda kutoa ushahidi mahakamani, huoni daktari aliyesoma na sheria pia itakuwa nafuu kwake? Ndugulile alikuwa anajua anachokitafuta! Na wewe huzuiliwi kwenda kusoma taaluma nyingine ya ziara itakayokusaidia kwenye majukumu yako.
 
😁

🤣Mbona unamsema boss wetu Eric shingongo amesoma OuT masters ya public administration na fourmfour kamaliza 2017, kaenda diploma,degree ndani ya hiyo miaka 7 Yan from 2017 up to 2024 kamaliza hayo madarasa yote
Ukisikia kumlisha mtu maneno ndio huku.

Salaleh
 
Ujanisoma kwa makini huo ndio mtazamo wangu pia.

Shida yangu ni hawa ambao wanamwita mtaalamu wa sheria going as far asto say kusema anaweza isadia nchi kwenye mikataba.

Pitia mada yote uone aina ya watu niliokuwa najibizana nao.
Ebu nielewesheni kidogo mimi Nina degree ya business administration na katika masomo yangu somo moja wapo nilifanya business laws studies Sasa je nikataka kusoma sheria inachukua miaka mingap? Na ntaspecialize huku huku kwenye sales and good contract, insurance, high purchase au nitasoma vingine tena??
 
Ujanisoma kwa makini huo ndio mtazamo wangu pia.

Shida yangu ni hawa ambao wanamwita mtaalamu wa sheria going as far asto say kusema anaweza isadia nchi kwenye mikataba.

Pitia mada yote uone aina ya watu niliokuwa najibizana nao.

Hapo tuko pamoja, hawezi kuwa mtaalam wa sheria. Alitaka atoe tongotongo kwa manufaa yake binafsi kwenye eneo la sheria.
 
Usimlamu sana japo ameandika ujinga. Kwa watanzania wengi elimu ni sehemu ya kumpa mtu fursa ya kuapta cheti ili aajiriwe. Kwa kifupi elimu kwetu siyo ujuzi wa kukupambana na mazingirira yetu bali lengo ni kuapta cheti cha ajira. Kwa hiyo hapa anashangaa huyu tayari alikuwa na cheti cha ajira, na pengine ajira tajira tayari, ilikuwaje aende tena shule?
 
It would have been easier kusema umesoma business studies.

Hapo utasoma modules za business law, maswala ya busuness formation. Legal implications za sole trader, partnership, corporates (limited and unlimited companies).

Utasoma Tort, utasoma contract law na aspects za accounting; hizo ni kwa ajili ya management. Uwezi soma mambo ya insurance kwenye business studies (that’s pure finance).

Ukitaka kuwa mwanasheria; utasoma LLM kujua principles za sheria.

Lakini LLM aikufanyi kuwa mwanasheria, unahitaji kufuata processes zingine za kazi na professional qualification ili uwe mwanasheria (walau kwa taratibu za kijijini kwetu). Hata ukiitimu utakuwa specialised kwenye maswala ya biashara tu.
 
Nimesema WHO ni taasisi ya Umoja wa Mataifa.

Ukasema ni ya Wazungu.

Nikasema hata ikiwa ya wazungu, je, hilo linamaanisha Waafrika wasijiongeze kusoma, kuchqngia, kuongoza?

Hukujibu swali hilo umeleta strawman argument fallacy kwamba mtu hawezi kutoa vitu kichwani mwake tu kwenye organization, hoja ambayo mimi sijaitoa. Non sequitur fallacy. Strawman fallacy.

You are all over the place. Mpaka sasa naona unalialia tu hii dunia ya wazungu huna hoja yoyote.
 
Mimi mkuu siyo mtaalam wa sheria lakini humu wanao wabobezi watakusaidia akina Paschal Mayalla, Petro D. Mselewa n.k. Ingawa kwa jinsi ulivyoielezea ninaona wewe unaweza kutakiwa kwenda kusoma labda MSc. in Business Laws! Ngoja wataalam waje wakusaidie
 
WHO ni taasisi.

Taasisi inakuwa na objective.

Msingi wa influence za objectives za WHO ni watu gani?

Majibu yako ya washauri ndio yataamua, hiyo taasisi ni ya wazungu au la.
 
WHO ni taasisi.

Taasisi inakuwa na objective.

Nani wanashauri objectives za WHO?

Majibu yako ya washauri ndio yataamua, hiyo taasisi ni ya wazungu au la.
Wanaoshauri ni watu.

Sasa Waafrika wasisome kwa sababu wao ni nyani si watu hawawezi kusoma na kushauri taasisi?

Ndicho unachosema hicho?
 
Wanaoshauri ni watu.

Sasa Waafrika wasisome kwa sababu wao ni nyani si watu hawawezi kusoma na kushauri taasisi?

Ndicho unachosema hicho?
Unaniwekea maneno.

Hoja ilikuwa viongozi wa WHO particularly kwa upande wa Africa wanatakeleza sera za wazungu.

Sasa huko kwa wazungu asilimia kubwa ni wataalamu weupe.

As far as the world is concerned Kiranga mżawa wa Tanzania angekuwa mwajiliwq wa US federal health expert na elimu yake imetumika kuupa mtazamo WHO. Dunia itajua hiyo ni akili ya wazungu (that’s just to simply matters).
 
Kwanza kama wewe ni mwanaume usitumie jina la Philomena hilo ni
ni jina la kike.

Kama unataka usome sheria itabidi usome Postgraduate diploma in Law

OUT wanatoa then ndio unaweza kusoma Master in Law (LLM)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…