Kwanini Marehemu Faustine Ndugulile alienda kusoma sheria (LL.B), wakati tayari alikuwa ni Daktari (MD)?

Nashukuru sana Ila ni three years si ndiyo
 
Bahati mbaya Mhusika alishafariki! Sijui nani atamjibu sasa!
 
Mbona Mimi nilienda kusoma Education na nna LLB?
 
Mtoa mada ana hoja ya msingi kama shida ilikuwa ni kujua Sheria za nchi si angesoma vitabu tu
 
Mtoa mada ana hoja ya msingi kama shida ilikuwa ni kujua Sheria za nchi si angesoma vitabu tu
Babu hivi unajua maana ya credentials mzee Sasa tutaaminaje unajua sekta fulani kama huna "certification "
 
Hiyo ya kuwa amesoma mwaka mmoja umeitoa wap??
 
Wapi wameandika amesoma LL.B mwaka mmoja??

mbona mnajivuruga sana
 
Hiyo dhana ya "mzungu" yenyewe ni ujinga mtupu.

Unasema "mzungu" wewe ngumbaru muafrika.

Katika hao unaowaita wazungu wenyewe wamegawanyika vibaya sana na hawakubaliani.

Na tukianza kuchambua "mzungu" ni nani, factually, objectively, hatutamaliza huo mjadala.

Na WHO ni taasisi ya UN, si ya wazungu.

Acha ungumbaru.
 
Hahaha hata mimi nimemshangaa, hiyo ya kusoma mwaka mmoja sijui aliambiwa na nani, sababu ilitunikiwe degree ya sheria si chini ya miaka 3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…