Madawa ya kulevya ni miradi watawala wa serikali zote duniani. Kinawagombanisha ni kuingiliana kwenye masoko.
Syria, N.Korea, Venezuela, China, Russia, Mexico, Colombia, Venezuela na hata marekani wenyewe ni vinara.
Siku zote anapokuja supplier mpya kwenye soko la mtu ana disrup flow ya bidhaa zao na mapato yao.
Hasa inapokuja bidhaa mpya ambayo hupendwa na wateja wao, utaona operations za kuwasaka wauza madawa, wakiisha mkamata au kumuondoa, operation husitishwa, huwa hawakamati distributors wao bali producer wapya na wauzaji wapya unless wakubaliane mgawo sahihi.
Mateja watajijua wenyewe.
Hii ni vita ya ma king ping.