Sisyphus
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 4,062
- 5,741
Sawa sikupingi Boss ... ila wenzao wa ulaya na marekani wanawaitusi kwa kuwaita yellow wa kusini mwa afrika waliwaita colouredHawa ni weupe (Whites)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sikupingi Boss ... ila wenzao wa ulaya na marekani wanawaitusi kwa kuwaita yellow wa kusini mwa afrika waliwaita colouredHawa ni weupe (Whites)
.Canada na Mexico wote wapo jirani na Marekani lakini Canada Wapo vizuri kiuchumi karibu Sawa na Marekani. Tafakari ukipata jibu utajua utofauti kati ya Hispanics na Whites(Beberu)Mkuu, hata kama Mexico wangekuwa wanakaa wamakonde watupu ila mimi ninazungumzia kasumba ya baadhi ya watu wanaoamini kwamba masikini kukaa karibu na mzungu ndio kupata mafanikio makubwa ya uchumi.
Wamexico wanamuita mtu yoyote 'El Gringo' wakimaanisha mgeni asiyejurikana, niliwai kuitwa hilo jina baada ya operation desert storm nilivyopata changu nikazamia hukoWa mexico mzungu wanamuita El"Gringo"""""
Lakin wao sio wazungu( mabeberu)
Ukiitwa "Gringo' maana yake " mhuni" pole sn kama walikuwa wanakuita hivoWamexico wanamuita mtu yoyote 'El Gringo' wakimaanisha mgeni asiyejurikana, niliwai kuitwa hilo jina baada ya operation desert storm nilivyopata changu nikazamia huko
Hawana asili ya Spain? Kama wanayo ,je wahispaniola siyo wazungu?Mexico Sio Nchi ya Wazungu, wala Raia wake sio Wazungu...
Na hawapendi kabisa kuchanganywa na kuitwa Wazungu!
Na wala hawawapendi Wazungu coz wao sio Wazungu!
Ila kuna watoto wakali Mexico. Hao Hispanics Latinos mixture ya wahispania na natives Indians yani huo ukanda wote wa central America Honduras, Panama, Elsalvador, Costa Rica, Nicaragua ni hatarii signorita.
Wahamiaji kutoka uhispania waliwabaka sana natives Indians na kuzaa nao baadaye wakachanyikana ndio hao Latinos/hispanics
JESUS help us
Ukiitwa "Gringo' maana yake " mhuni" pole sn kama walikuwa wanakuita hivo
Duuuh aisee hii hatari sana mkuu...Na ukiitwa hivyo wanamaanisha pia hutakiwi kupata huduma yoyote ile ata uwe na hera gunia mbili
Tulia wewee mkaldayoWewe semenya wewe, Jesus ameingiaje hapo kwenye ubakaji wa signorita?
Mhhh, hakika wewe ni kiboko mzee baba.nilishi kibishi kwa siku 90 then nikazamia USA up to Tz kigoma
Mhhh, hakika wewe ni kiboko mzee baba.
Wamexico ni Latin America, wenyewe hujiita Latino....!Hawana asili ya Spain? Kama wanayo ,je wahispaniola siyo wazungu?
Latino ni kama kabila tu ndani ya Mexico ni kama useme wamakonde au wachagga ndani ya Tanzania.Wamexico ni Latin America, wenyewe hujiita Latino....!
Zaidi ya nusu ya idadi ya wananchi wa Marekani ni whites hapa nakazia nikimaanisha kweli whites Hispanics sijawajumuishaKwanini Mexico na sio Canada kama hoja ni ujirani, kwanza Marekani sio Taifa la WHITES.
Hapana!Latino ni kama kabila tu ndani ya Mexico ni kama useme wamakonde au wachagga ndani ya Tanzania.
Mtu mweupe mweupe kweliHizi ni "ethnicities" lakini rangi (complexion) ni weupe na weusi. Au siku hizi kuna watu wana rangi ya kijani, njano na blue hapa duniani?
Mimi ninamaanisha weupe ambao ni opposite na weusi na sio weupe huo wa kung'aa yaaani weupe peeeeee...Mtu mweupe mweupe kweli
Huwezi sema mjapani au mhindi au Hispanics kuwa ni white