Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizo zote sio nchi za ndani ya Afrika?

Nimehoji mentality ya baadhi ya watanzania wanaoamini ya kwamba ukiwa karibu sana na wazungu ndio kichocheo kikubwa cha maendeleo
Ukweli n kwamba ukiwa karibu na wenye maendeleo na ww huwezi baki nyuma, iyo kuwa sawa nao n mipango ya mtu na mtu , ila ni kwamba huwez baki pale pale kama mwanzo, pia haimaanishi kuwa ww peke ako hutaweza pambana, ila at least ukiwa nao kuna msukumo na ushirika unaweza upata.
 
Latino ni kama kabila tu ndani ya Mexico ni kama useme wamakonde au wachagga ndani ya Tanzania.
Latino inatokana na Latin kwa maana mataifa yenye asili ya Lugua ya Kiilatin yaan Spain,Portugal na Italy ndo yalitawala nchi nyingi kuanzia Mexico hadi Argentina.Lugha zao zilitokana na lugha ya kilatin na ndo maana Amerika ya kusini huitwa Latin America.Wenyeji wa maeneo hayo Ni viumbe waliotoweka kwa kuuliwa makusudi na wavamizi ,magonjwa ,mazingira magumu ya kazi nk.
 
Wanasema kuwa ukiwa karibu na walioendelea na wewe utaendelea
,
Ukiwa karibu na tajiri kuna uwezekano mkubwa na wewe ukawa tajiri..

Waswahili walisema mgaa na upwa Hali wali mkavu,

Yaani ukicheza cheza kando kando ya bahari au mto unaweza kuokota hata kidagaa cha mchuzi

lakini sio kweli Kwa Waafrika waishio chini ya jangwa la Sahara,Waafrika wenye ngozi nyeusi

Nchi za Afrika chini ya Jangwa la Sahara ni nchi masikini duniani

Kosa kubwa la Waafrika ni kushindwa kuiga,uwezo wetu wa kufikiri mdogo

tunashindwa kufafanua lipi zuri lipi baya,kutokana na uhalisia wa Jambo husika..

Matatizo yake Afrika chini ya Jangwa la Sahara tumeachwa kiteknologia,kiuchumi..Nk

Dunia inatuacha,Waafrika tunateseka,tunakuwa tegemezi,tunakuwa masikini kila kukicha..
 
Mkuu unakaza ubongo tu ila Mkuu Tanganyika yupo sawa kabisa. Hao walatino ni "weupe" lakini wapo katika Race ipi? Maana hata wambulu ni weupe pia lakini katika Races ni blacks.
Swali la msingi ni kwamba;

Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizo zote sio nchi za Afrika?
 
Okay, I see...
 
Wapemba weupe wana nenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…