Ukweli n kwamba ukiwa karibu na wenye maendeleo na ww huwezi baki nyuma, iyo kuwa sawa nao n mipango ya mtu na mtu , ila ni kwamba huwez baki pale pale kama mwanzo, pia haimaanishi kuwa ww peke ako hutaweza pambana, ila at least ukiwa nao kuna msukumo na ushirika unaweza upata.
Wanasema kuwa ukiwa karibu na walioendelea na wewe utaendelea
,
Ukiwa karibu na tajiri kuna uwezekano mkubwa na wewe ukawa tajiri..
Waswahili walisema mgaa na upwa Hali wali mkavu,
Yaani ukicheza cheza kando kando ya bahari au mto unaweza kuokota hata kidagaa cha mchuzi
lakini sio kweli Kwa Waafrika waishio chini ya jangwa la Sahara,Waafrika wenye ngozi nyeusi
Nchi za Afrika chini ya Jangwa la Sahara ni nchi masikini duniani
Kosa kubwa la Waafrika ni kushindwa kuiga,uwezo wetu wa kufikiri mdogo
tunashindwa kufafanua lipi zuri lipi baya,kutokana na uhalisia wa Jambo husika..
Matatizo yake Afrika chini ya Jangwa la Sahara tumeachwa kiteknologia,kiuchumi..Nk
Dunia inatuacha,Waafrika tunateseka,tunakuwa tegemezi,tunakuwa masikini kila kukicha..