It doesn't work that way kid.Piga kelele zooooote unazozijua wewe lakini duniani kuna rangi mbili tu za binadamu yaaani MWEUPE na MWEUSI.
Labda kama wewe ni binadamu wa njano au blue.
Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizo zote sio nchi za ndani ya Afrika?It doesn't work that way kid.
Hueleweki mkuu. Au umekosea kuandika?Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizo zote sio nchi za ndani ya Afrika?
Piga kelele zooooote unazozijua wewe lakini duniani kuna rangi mbili tu za binadamu yaaani MWEUPE na MWEUSI.
Labda kama wewe ni binadamu wa njano au blue.
Sawa boss. Sasa mkuu;Huijui vizuri dunia na watu wake wewe.
Kuna kitu kinaitwa SlavismMbona Ujerumani na Ufaransa hamuwaongelei mnang'ang'ania tu hao Mexico?
Acha kukwepa maswali mkuu.Lastborn Leo hataki kuelimishwa, Yeye mtu mweupe yoyote kwake ni mzungu. Awe mchina, mwarabu, mhindi ni wazungu.[emoji23] [emoji23]
Ninajua unanifanyia "provocation" ili upime reactions zangu. Mimi sio mwepesi kiasi hichoLastborn Leo hataki kuelimishwa, Yeye mtu mweupe yoyote kwake ni mzungu. Awe mchina, mwarabu, mhindi ni wazungu.[emoji23] [emoji23]
Jomba hapendi kupingwa na anajua kila kitu dunianiHuijui vizuri dunia na watu wake wewe.
Upo kwenye IGNORE LIST yangu alafu siju kwanini bado posts zako ninaziona...!!!!Jomba hapendi kupingwa na anajua kila kitu duniani
Kuna kitu kinaitwa Slavism
Kuanzia nchi za Scandinavia ,British isles,Ujerumani,Uholanzi,Ubelgiji,Ufaransa,Italy n.k in short ulaya ya kati yote na Ulaya ya Magharibi yote hao ndio Wazungu
Slavics ndio watu wa Ulaya mashariki Kama Warusi na nchi zilizokuwa za kikomunisti hapo zamani zote ,nimetaja Slavics/Slavism kupoint kwamba Wazungu wa Ulaya ya kati na Wazungu wa Ulaya ya Magharibi hawa ni race moja
Si unajua kule america wale black huku tungewaita white. Kama obama anaitwa black but huku kwetu tungemwita obama white.
Tuliza shanga sasa.Upo kwenye IGNORE LIST yangu alafu siju kwanini bado posts zako ninaziona...!!!!
Okay mkuu...Kuna kitu kinaitwa Slavism
Kuanzia nchi za Scandinavia ,British isles,Ujerumani,Uholanzi,Ubelgiji,Ufaransa,Italy n.k in short ulaya ya kati yote na Ulaya ya Magharibi yote hao ndio Wazungu
ThanksSlavics ndio watu wa Ulaya mashariki Kama Warusi na nchi zilizokuwa za kikomunisti hapo zamani zote ,nimetaja Slavics/Slavism kupoint kwamba Wazungu wa Ulaya ya kati na Wazungu wa Ulaya ya Magharibi hawa ni race moja
Nimekuelewa sana.Latino inatokana na Latin kwa maana mataifa yenye asili ya Lugua ya Kiilatin yaan Spain,Portugal na Italy ndo yalitawala nchi nyingi kuanzia Mexico hadi Argentina.Lugha zao zilitokana na lugha ya kilatin na ndo maana Amerika ya kusini huitwa Latin America.Wenyeji wa maeneo hayo Ni viumbe waliotoweka kwa kuuliwa makusudi na wavamizi ,magonjwa ,mazingira magumu ya kazi nk.
Jamaa anajua kufafanuaNimekuelewa sana.
Kulingana na mentality za baadhi ya waafrika ni kweli ulipaswa kuwa tajiri pia equivalent na MONyumba yangu ni karibu na Mo Dewji! Kwahyo natakiwa niwe tajiri sikujua!