Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizo zote sio nchi za ndani ya Afrika?

Huijui vizuri dunia na watu wake wewe.
Sawa boss. Sasa mkuu;

Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizo zote sio nchi za ndani ya Afrika?
 
Mbona Ujerumani na Ufaransa hamuwaongelei mnang'ang'ania tu hao Mexico?
Kuna kitu kinaitwa Slavism

Kuanzia nchi za Scandinavia ,British isles,Ujerumani,Uholanzi,Ubelgiji,Ufaransa,Italy n.k in short ulaya ya kati yote na Ulaya ya Magharibi yote hao ndio Wazungu

Slavics ndio watu wa Ulaya mashariki Kama Warusi na nchi zilizokuwa za kikomunisti hapo zamani zote ,nimetaja Slavics/Slavism kupoint kwamba Wazungu wa Ulaya ya kati na Wazungu wa Ulaya ya Magharibi hawa ni race moja
 
Lastborn Leo hataki kuelimishwa, Yeye mtu mweupe yoyote kwake ni mzungu. Awe mchina, mwarabu, mhindi ni wazungu.[emoji23] [emoji23]
Acha kukwepa maswali mkuu.

Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizo zote sio nchi za ndani ya Afrika?
 
Lastborn Leo hataki kuelimishwa, Yeye mtu mweupe yoyote kwake ni mzungu. Awe mchina, mwarabu, mhindi ni wazungu.[emoji23] [emoji23]
Ninajua unanifanyia "provocation" ili upime reactions zangu. Mimi sio mwepesi kiasi hicho
 
Kuna kitu kinaitwa Slavism

Kuanzia nchi za Scandinavia ,British isles,Ujerumani,Uholanzi,Ubelgiji,Ufaransa,Italy n.k in short ulaya ya kati yote na Ulaya ya Magharibi yote hao ndio Wazungu

Slavics ndio watu wa Ulaya mashariki Kama Warusi na nchi zilizokuwa za kikomunisti hapo zamani zote ,nimetaja Slavics/Slavism kupoint kwamba Wazungu wa Ulaya ya kati na Wazungu wa Ulaya ya Magharibi hawa ni race moja
Si unajua kule america wale black huku tungewaita white. Kama obama anaitwa black but huku kwetu tungemwita obama white.
 
Upo kwenye IGNORE LIST yangu alafu siju kwanini bado posts zako ninaziona...!!!!
Tuliza shanga sasa.
JamiiForums-1874524951_428x320.jpg
 
Slavics ndio watu wa Ulaya mashariki Kama Warusi na nchi zilizokuwa za kikomunisti hapo zamani zote ,nimetaja Slavics/Slavism kupoint kwamba Wazungu wa Ulaya ya kati na Wazungu wa Ulaya ya Magharibi hawa ni race moja
Thanks
 
Latino inatokana na Latin kwa maana mataifa yenye asili ya Lugua ya Kiilatin yaan Spain,Portugal na Italy ndo yalitawala nchi nyingi kuanzia Mexico hadi Argentina.Lugha zao zilitokana na lugha ya kilatin na ndo maana Amerika ya kusini huitwa Latin America.Wenyeji wa maeneo hayo Ni viumbe waliotoweka kwa kuuliwa makusudi na wavamizi ,magonjwa ,mazingira magumu ya kazi nk.
Nimekuelewa sana.
 
Back
Top Bottom