Nashukuru nilipata bahati ya kutembelea baadhi ya nchi zilizoendelea na zile ambazo bado. Safari hizo zilinipa fursa ya kutafuta jibu la maswali yaliyosumbua kwa miaka mingi: 1. Mataifa yaliyoendelea yana nini kilichofanya yaendelee ambacho sisi hatuna? 2. Kwa nini wao waendelee na sisi bado? 3...