Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizo zote sio nchi za ndani ya Afrika?

Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizo zote sio nchi za ndani ya Afrika?

Shida kubwa ya Mexico ni corruption, wanaiba pesa za serikali ile mbaya
 
Thanks bro, ngoja nitulie niisome hii pia
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.

Ndugu zangu watanzania;

Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizo zote sio nchi za ndani ya bara la Afrika?
Na mimi juu ya swali lako ngoja nitupie swali juu kwa juu. Hivi ngozi nyeusi tuna akili kidogo, ebu fikiria nchi kama Haiti na Jamaica ziko karibu na Marekani. Hebu tazama nchi zilizo karibu nao. Lakini bado ni masikini tu sawa na nchi zilizo huku kwetu barani Afrika. Shida ni nini kwani?
 
Red people,White people,yellow people &Black people...ndo origin..zingine ni combination of any from them
 
Back
Top Bottom