Huu utafiti umefanya wapi? Ni hivi: idadi ya matajiri siyo kubwa kama maskini na watu wa kipato cha kati, hivyo tegemea wingi wa migogoro kuwa kwenye kundi lenye watu wengi. Unaweza kushangaa iwapo utafanya reseach ya kisayansi na kugundua kuwa mambo yako kinyume na unavyoona.Watu wenye malalamiko ya ndoa na mapenzi zaidi na ambao wanatembea hadi na mafuta kwa ajili ya wagoni wao ni masikini au wa kipato cha kawaida, watu matajiri wao wakishindwana kwenye ndoa au mahusiano wataachana na wataoa au kuolewa na mtu mwingine na maisha yataeendelea. Ni nadra kukuta kesi ya mauaji au kudhuriana ya matajiri au watu maarufu inayohusisha masuala ya mapenzi au ndoa, labda kesi za talaka na kugawana mali tu.
Very very true....maskini hawa tabu sana yaani wao mbususu wanaona kama vile yao wakati hiyo ni zamu yako tuu kuishenyentaš¤£š¤£š¤£š¤£Watu wenye malalamiko ya ndoa na mapenzi zaidi na ambao wanatembea hadi na mafuta kwa ajili ya wagoni wao ni maskini au wa kipato cha kawaida, watu matajiri wao wakishindwana kwenye ndoa au mahusiano wataachana na wataoa au kuolewa na mtu mwingine na maisha yataeendelea.
Ni nadra kukuta kesi ya mauaji au kudhuriana ya matajiri au watu maarufu inayohusisha masuala ya mapenzi au ndoa, labda kesi za talaka na kugawana mali tu.
Siongeli migogoro tu ya ndoa na mapenzi, naongelea kudhuriana na hata mauaji. Pia nazungumzia kwa asilimia(%).Huu utafiti umefanya wapi? Ni hivi: idadi ya matajiri siyo kubwa kama maskini na watu wa kipato cha kati, hivyo tegemea wingi wa migogoro kuwa kwenye kundi lenye watu wengi. Unaweza kushangaa iwapo utafanya reseach ya kisayansi na kugundua kuwa mambo yako kinyume na unavyoona.
Nimeelewa na ndiyo maana nikakumbia obvious ni lazima cases za maskini na watu wa kati ziwe nyingi kwa sababu ndiyo wanaunda idadi kubwa ya population. Ukienda kwenye wilaya moja yenye wakazi eg 200,000 unaweza kukuta matajiri kama 10 tu, hivyo bila shaka migogoro yao ya ndoa haitawezi kuwa mingi kama wale waliobakia.Siongeli migogoro tu ya ndoa na mapenzi, naongelea kudhuriana na hata mauaji. Pia nazungumzia kwa asilimia(%).
Siyo ajabu.Binadamu kaumbwa na asili ya uchoyo.Unapotaka kumpora hata hicho kidogo anachojivunia unatafuta dhahma na anaona unamuonea sana.Mkuu hii inachekesha sana, ni mambo ya ajabu sana.
Kabisa kabisa....mbususu yake mwanamke eti wee una mind akiamua kumpa mwengine. Akili za kitoto kweli kweli.Inashangaza sana
Masikini kwa matajiri, wote wana wivu, wote wanaumizwa, wote hutamani dunia ifike mwisho.Watu wenye malalamiko ya ndoa na mapenzi zaidi na ambao wanatembea hadi na mafuta kwa ajili ya wagoni wao ni maskini au wa kipato cha kawaida, watu matajiri wao wakishindwana kwenye ndoa au mahusiano wataachana na wataoa au kuolewa na mtu mwingine na maisha yataeendelea.
Ni nadra kukuta kesi ya mauaji au kudhuriana ya matajiri au watu maarufu inayohusisha masuala ya mapenzi au ndoa, labda kesi za talaka na kugawana mali tu.
Wewe lazima utakuwa masikini tu uliye chawa wa matajiri.Acha uongo wewe ,hakuna maskini Mwenye wivu ..Sijui assumptions zako unazitoa wapi.
Halafu hakuna mtu anafuatilia mwingine ,kila mtu na maisha yake ...Acha ujinga wa kugawa watu ,kama ni tajiri peleka kweny ukoo wako huko.
Naweza kuwalisha kenge wote hapo kwenu ,unajishtua hakuna tajiri mpiga kelele .Wewe lazima utakuwa masikini tu uliye chawa wa matajiri.