Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,835
- 8,703
... ndoa zetu, malofa sie, huwa zimefungamana sana na mambo yetu ya Uchumi, hivyo mwenza anapoleta za kuleta MAKASIRIKO YAKE USIPIME!Watu wenye malalamiko ya ndoa na mapenzi zaidi na ambao wanatembea hadi na mafuta kwa ajili ya wagoni wao ni maskini au wa kipato cha kawaida, watu matajiri wao wakishindwana kwenye ndoa au mahusiano wataachana na wataoa au kuolewa na mtu mwingine na maisha yataeendelea.
Ni nadra kukuta kesi ya mauaji au kudhuriana ya matajiri au watu maarufu inayohusisha masuala ya mapenzi au ndoa, labda kesi za talaka na kugawana mali tu.
😅