Kwanini maskini ndio huwa wana wivu sana katika mapenzi na ndoa ?

... ndoa zetu, malofa sie, huwa zimefungamana sana na mambo yetu ya Uchumi, hivyo mwenza anapoleta za kuleta MAKASIRIKO YAKE USIPIME!
😅
 
Umemsahau yule tajiri aliyemuua mke wake kwasababu hakupokea simu
 
shida ufahamu kila kitu wivu wamapenzi hupo kote kote.Au kesi zilizopo mahakani ufatilii
 
Masikini hana starehe nyingine zaidi ya ngono,ndio maana unakuta masikini ana utitiri wa watoto wengi kuliko tajiri,masikini huumia kusalitiwa coz hiyo ndio starehe pekee aliyonayo,na kuoa tena ni gharama kwake,ndio maana wanakuaga na hasira ya kusalitiwa,

Haya ni mawazo yangu tu na sio utafiti rasmi.
 

Kwanini maskini ndio huwa wana wivu sana katika mapenzi na ndoa ?​

Majibu nikama ifuatvyo:-Nikwasababu masikini mapenzi ndio kitu pekee anachoweza kua nacho ndani ya uwezo wake,kuliko umiliki wa mali.

Pokea taarifa
 
Huu ni utafiti uchwara
 
Ni muda sasa mtuache na sisi masikini tupumzike. Yaani kila kitu mnatusingizia sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…