mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Kanjibhai anaongea sanaMhindi na Mpira wapi na wapi
Kumbe wenye vibunda ndivyo walivyo?Kwa uhalisia mo ana kibunda kutuzidi sie wapiga kelele, sio!
Ningekuona wa Maana ungejiuliza kwa nini ktk wote hao hakuna mtanzania mweusiKuanzia bakharesa, Azim Dewij , Yusuph Manji, Ghalib Mohammed na hata ukienda ulaya na duniani kote matajiri wote wawekezaji Katika soka wanapenda kubaki kama mashujaa nyuma ya camera, na sio kubwabwaja bwabwaja hovyo na kutafuta justification na public sympathy kama huyu muhindi mzaramo.
Au ndio tabia zenu matajiri ?
Mada inahusu tabia zake za kuongea hovyo wew unaleta mambo ya rangi? Uko Sawa kichwani?Ningekuona wa Maana ungejiuliza kwa nini ktk wote hao hakuna mtanzania mweusi
Acha kuongelea vitu kidogo kidogo visivyo na faida kwakoMada inahusu tabia zake za kuongea hovyo wew unaleta mambo ya rangi? Uko Sawa kichwani?
Kila mtu na aiba yake. Sio lazima wote wafanane. Sio tu kuongea. we mara ngapi umemuona mzee Backresa adharani au uwanjani kuangalia mpira?Kuanzia bakharesa, Azim Dewij , Yusuph Manji, Ghalib Mohammed na hata ukienda ulaya na duniani kote matajiri wote wawekezaji Katika soka wanapenda kubaki kama mashujaa nyuma ya camera, na sio kubwabwaja bwabwaja hovyo na kutafuta justification na public sympathy kama huyu muhindi mzaramo.
Au ndio tabia zenu matajiri ?
Anamwaga PUMBA haswaaKanjibai haongei,anabwabwaja
Anamwaga PUMBAKanjibai haongei,anabwabwaja
Kanjibhai anakera Sana , sema NI vile Tu anamzigo wakutoshaNgumu Sana kumtetea kanjibai
Nguvu moja
Matajiri uwa wanaacha pesa izungumzeKanjibai haongei,anabwabwaja