Kwanini matajiri wawekezaji wote Katika soka hawaongei Sana kama Mo Dewij kanjibhai ?

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Kuanzia bakharesa, Azim Dewij , Yusuph Manji, Ghalib Mohammed na hata ukienda ulaya na duniani kote matajiri wote wawekezaji Katika soka wanapenda kubaki kama mashujaa nyuma ya camera, na sio kubwabwaja bwabwaja hovyo na kutafuta justification na public sympathy kama huyu muhindi mzaramo.

Au ndio tabia zenu matajiri ?
 
Ningekuona wa Maana ungejiuliza kwa nini ktk wote hao hakuna mtanzania mweusi
 
Kuanzia bakharesa, Azim Dewij , Yusuph Manji, Ghalib Mohammed na hata ukienda ulaya na duniani kote matajiri wote wawekezaji Katika soka wanapenda kubaki kama mashujaa nyuma ya camera, na sio kubwabwaja bwabwaja hovyo na kutafuta justification na public sympathy kama huyu muhindi mzaramo.

Au ndio tabia zenu matajiri ?
Kila mtu na aiba yake. Sio lazima wote wafanane. Sio tu kuongea. we mara ngapi umemuona mzee Backresa adharani au uwanjani kuangalia mpira?

Kila mtu na life style yake, kila mtu yupo huru kuhishi atakavyo. As long as hajaathiri uhuru wa mtu mwingine.
 
Back
Top Bottom