Kwanini matokeo ya rais yasihojiwe na mahakama yoyote?

Kwanini matokeo ya rais yasihojiwe na mahakama yoyote?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Naomba majibu ya swali hilo katika ulimwengu huu wa kuchakachua kufoji kubambikiza kuonea kutoleana ushahidi wa uongo je kuna haja ya Kuwa na kipengele kama hiki?
 
Back
Top Bottom