Kwanini matukio ya Ngono za Kuagana kabla ya Harusi yanashika kasi Tanzania?

Kwani hujui kuwa ngono huchukua asilimia 90 za akili za wanaadamu
 
Acha uongo we jamaa,unajua hekaheka za kuwa bi harusi wewe?huo muda wa kulala na ex siku moja kabla ya harusi unautoa wapi?muda haujawahi tosha kwa bibi harusi....
Don't say no...

Ni vile tuu sio Vema kueleza hapa.
Ila haya mambo yapo. Na huenda sio lazima ikawa siku moja kabla ya harusi but inawezekana pia
 
Tatizo kubwa wadada wakinusa harufu ya ndoa, wataingia kwenye hiyo ndoa, hata kama wana wapenzi wao wa muda mrefu wanaowapenda. Katika mazingira kama hayo, mdada wa namna hii, atakuwa kwenye ndoa ilimradi tu ni ndoa, lakini moyoni mwake, mpnz wake ni huyo ex wake.

Dada zetu muwe genuine, hakuna sababu ya kuingia kwenye ndoa na mtu usiyempenda ilimradi tu uonekane umeolewa. Mafurushi ya trauma mnayoingia nayo kwenye hizo ndoa yanaharibu mioyo ya vijana wa watu na kutengeneza chain ya watu wanaoenda kulipiza visasi kwa kuwatenda vibaya wengine.
 
Dunia inazidi kuwa ngumu ila activists wanataka wanaume wawe soft zaidi.

Kuongea, kulia etc lakini kiuhalisia maisha hayaongozwi kwa kuishi kwenye hisia, yanaongozwa kwa akili na sometimes hata kama hisia zinaumia
 
... tatizo la waoaji wengi ni kupenda kupita maelezo kiasi anajua kabisa mchumba wake ni bibi ya fulani lakini yeye kapenda na ajipa matumaini kuwa hawala wa watu atabadilika pindi akimuoa! ... yaani unaanzisha ligi ya mapenzi na mtoto wa mjini asiye na haraka hata ya kuoa!
WAZAZI WAKUJUA WEWE, ILKHALI BINTI AMNJUA CRUSH WAKE!
 
Akishabaini jambo, nini afanye....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…