Kwanini matukio ya Ngono za Kuagana kabla ya Harusi yanashika kasi Tanzania?

Aliyelala na bibi harusi,
Siku moja kabla ya harusi,
Na wala siyo bwana harusi,
Bado mnanishauri harusi?

Wengine wanasema nifumbe macho,
Wengine nizibe masikio,
Nisione wakati naibiwa?
Huwezi jua hamjaelewa,
Nikiona mtu anaibiwa,
Naona kama naibiwa mimi,
Ndo miaka kadha ijayo mniulize nitaoa lini,
 
huko ni kujipa stress tu ukigundua kweli utachukua uamzi gan
 
Kwenye group la send off bibi harusi kawaadd maex zake na mara kwa mara anawakumbusha michango, we unazani kifuatacho ITV kitakuwa nini.
 
Umesema kweli kabisa. Mtu anaolewa na mtu qmbaye hana hisia nae hata chembe ili tu aitwe Mrs fulani, mambo ni mengi sana
 

Hii inasikitisha sana, unaoa Ndoa Takatifu Kanisani halafu na watoto pia unasingiziwa siyo wako.

KWANINI wadada siku hizi mmekuwa wakatili kuliko Mama zenu waliowazaa???

KWANINI uoelewe halafu bado na watoto inaniletea wa kidume mwenzangu ndani ya nyumba niwalee????
 
najaribu kuwaza unaoa mwanamke ambae kakojolewa bao 500 wewe mwenye gundu la kuoa ndo unaanza bao la 501,

bikra mhimu

Inawezekana wakawa Wanaroga ili kupata mtu wa kumuona. Inawezekana Hawa wadada Wanaroga Wanaume wanaowataka wawaoe ndiyo maana ndoa zinafungwa.

Haiwezekani Mwanamke ni Malaya kitaani eti ghafla unasikia kesho anaolewa. Huwa haingii akilini
 
Kwenye group la send off bibi harusi kawaadd maex zake na mara kwa mara anawakumbusha michango, we unazani kifuatacho ITV kitakuwa nini.

Inasikitisha sana. Hawa wadada ni Bora usioe tu...kifuatacho ITV utaletewa watoto wa ex zake uwalee huku ukidanganywa kuwa ni wako.

Ila Hawa wanawake wanawaona Wanaume wa siku hizi wapole Sana. Kuna mwamba alikunywa sumu baada ya kugundua watoto siyo wake baada ya vipimo vya DNA kutoka.

Ndoa za Sikuhizi zinasikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…