Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,929
- 33,764
Saza issue kama hii unafanya vikao vya nini,ni apite kule akaolewe na huyo X wake.Kwa sasa inaonekana Harusi zinazofungwa makanisani siku Moja kabla ya Ndoa, Kunakuwa na matukio ya ngono za kuagana zinazofanywa na Bibi Harusi na Ma-Ex wao. Hii Ina maana Harusi zinazofungwa leo Kanisani tarehe 01 August 2026 Asilimia 90% ya Bibi Harusi watarajiwa wiki Moja au siku Moja kabla watakuwa wameifanyia ngono zembe za bila kinga na Ex-Zao. Pole Sana wapi msiolijua hilo, Magonjwa ya UKIMWI yawatangulieni pindi mtakapoianza safari yenu ya Maisha huku Ex wakiendelea kugegeda huyo Mkeo uliyemuoa.
KWANINI NASEMA HAYA. SOMA HAPA CHINI UJIFUNZE
Leo tarehe 01 Agosti 2026 nimejikuta nikitafakari jambo ambalo limekuwa likizungumzwa mara kwa mara katika jamii. Kwa mujibu wa simulizi nilizozikuta leo, harusi moja imelazimika kuahirishwa baada ya kuzuka mgogoro unaohusisha madai kwamba bibi harusi mtarajiwa alikutwa akiwa na mpenzi wake wa zamani usiku mmoja kabla ya harusi. Viongozi wa dini na wazee wa pande zote wamekutana kujadili hatma ya suala hilo, huku maandalizi ya ukumbini yakiwa tayari yamefanyika.
Imenibidi nifike ukumbini ili kuona Hali ilivyo, nikwakuta Ndugu na jamaa wa Bw. Harusi, imebidi niulize kulikoni, na wao wakanijibu wanasubiri uamuzi wa kikao na jinsi ya kuwafahamisha wageni watakapowasili kwamba sherehe imeahirishwa hadi taarifa nyingine itakapotolewa.
Tukio hili limenifanya niulize swali muhimu: Kwa nini visa vya watu kufanya kile kinachoitwa "ngono za kuagana" na wapenzi wao wa zamani kabla ya kufunga ndoa vinaonekana kusikik
Kwa kifupi hakuna Sherehe iliyofanyika. Wageni waalikwa wakifika ukumbini wanajulisjwa sherehe imeahirishwa.Vipi Kuhusu bia na mapilau, kuku wa kukaanga, ndizi lost, majia ya afiya ya litar 1.6. Vili liwa au vilimwagwa
Wanaama maeneo wanayoishi. Mtu ashakitombesha sana mbagala uko. Halafu kaamia zake tegeta. Ukikutana nae hawezi kujua.Wanawake watakuwa Wanaroga ili ndoa zifungwe makanisani
Maana unakuta Mwanamke hajatulia kitaani ana mabwana kibao lakini ghafla unasikia kapata Mume wa kumuona.
Hapo ndumba itakuwa inahusika
Na upo tayari kuzaa watoto na ex wako na umpelekee Mumeo awalee kama wake????X hanuniwi.
Ni kitenzi kishirikishi kati ya mume na mke.
Dah itamchukua miezi jamaa kuwa sawa kiakili,na itamchukua zaidi ya miaka tena huyo jamaa kuja kuoa.Kwa kifupi hakuna Sherehe iliyofanyika. Wageni waalikwa wakifika ukumbini wanajulisjwa sherehe imeahirishwa.
Hata Kanisani hawakwenda
Mtaani kwangu kuna Bar maid aliolewa nilidhangaa sana na nilijiuliza swali kuwa jamaa anajua binti ni muhudumu na bado akaoa au ndio hivyo alimuona tu mahali wakawa wapenzi.Wanaama maeneo wanayoishi. Mtu ashakitombesha sana mbagala uko. Halafu kaamia zake tegeta. Ukikutana nae hawezi kujua.
Hapana Bro hiyo dhambi.Na upo tayari kuzaa watoto na ex wako na umpelekee Mumeo awalee kama wake????
Raha gani kupeana dhambi tuAcheni watu wajipe raha.
Kama inaweza Fikra hongeraHapana Bro hiyo dhambi.
Lakini inaweza kutokea.
Tutakufuatilia hao watoto kama ni wa Mumeo...Hapana Bro hiyo dhambi.
Lakini inaweza kutokea.
π π π πTutakufuatilia hao watoto kama ni wa Mumeo...
Kwani mabibi harusi tu na wanaagwa,mabwana hawaagi michepuko yao
Dah itamchukua miezi jamaa kuwa sawa kiakili,na itamchukua zaidi ya miaka tena huyo jamaa kuja kuoa.
Ukisikia maumivu ndio hayo sasa,unaweza kuua.