Nimefanya utafiti katika kuongeza ufahamu kwenye mashamba ya vyakula na mazao mbalimbali yalimwayo na Wazungu, kitu nilicho gundua wao asilimia 100% wanatumia mborea ya samadi kutoka kwenye kinyesi cha ng'ombe, farasi na miti, pia na mabaki ya taka za majumbani.
Pia soma: Kuwa na kilimo cha kisasa ni lengo la pamoja la China na nchi za Afrika
Hawatumii mbolea za kutengeneza maabara, je, kwanini sisi weusi watu wetu wanalazimishwa kutumia mbolea za kutengenezwa kutoka maabara?
Wasomi mnao elewa mambo embu mtupe elimu katika hili, asanteni.