Mkuu wakati tukijadili haya, wanaoyaanzisha hawalali pia. Wameweza kufanikiwa sababu sehemu kubwa ya viongozi ni vibaraka. Miaka ya nyuma kulikuwa na kuku wa wiki 3 anachinjwa!?,zile tikiti za kijani zilienda wapi!?,hujagundua sokoni Sasa hivi Kuna nyanya chungu kubwa kama ngumi na hazina siku nyingi!?,pilipili mwendokasi ukiikata ni kama teargas zilikuwepo!?,mifamo ni mingi sana,tunabadilishwa vitu taratibu, watu wapo maabara wanatengeneza mbegu za mchongo. Bahati mbaya sana wasomi wetu wa kilimo wamesinzia.