Kwanini mauzo ya biashara yamepungua mwezi Agosti? Kipi kifanyike?

widermike

Member
Joined
Feb 18, 2023
Posts
12
Reaction score
11
Changamoto ya mauzo imekuwa kubwa sana Chanzo nini na pia kama mfanyabiashara nini unatakiwa kufanya kwa kipindi hiki cha purchasing power ya wateja kuwa chini.

Pia timing nzuri ya biashara na maanisha jinsi ya kuwin kwa season inayofata

MAJUBU YA JIKITE KWENYE UZOEFU
 
Biashara gani unafanya? Nikupe ushauri
 
Unaishi dunia gani bro? Hujui hichi ndio kipindi watu wanaficha ela mzee uchaguzi kesho kutwa watu nametoka kufunga mahesabu ya mwaka TRA wako na wewe hapo nyuma kama mkia alafu uku uchaguzi na bado watu wanatafuta wadhamini 100 b zipatikane mzee watu wanaficha ela now tutaqnza kufunguka mwakani after pasaka amin nakiambia
 
Siasa season effect
 
Biashara gani unafanya? Nikupe ushauri
Nafanya food production kaka , ya sembe , dona na Unga wa muhogo actually nataka nifahamu kwa ukubwa maana naona hapo monetary policy ndo Chanzo ila nataka kujua zaidi ni nini hasa kinafanya Kote pa bane na wakati kama huu Tufanye nini? Pia nawaza kwa nini sija ona mapema
 
Unaishi dunia gani bro? Hujui hichi ndio kipindi watu wanaficha ela mzee uchaguzi kesho kutwa watu nametoka kufunga mahesabu ya mwaka TRA wako na wewe hapo nyuma kama mkia alafu uku uchaguzi na bado watu wanatafuta wadhamini 100 b zipatikane mzee watu wanaficha ela now tutaqnza kufunguka mwakani after pasaka amin nakiambia
Kwaiyo uchaguzi ukiisha ndo biashara zitawaka au
 
Nahis hela ime kwama mahali, haifiki huku kwetu kabisa
 
Ukiwa Unazalisha Huduma / Bidhaa unakuwa Na Wateja Wengi kwasababu Unakuwa Unaweza Kuuza Nchi Nzima .....

Kwa hiyo , Ukiwa MCHUUZI Unakuwa Na Vita Kubwa Na Wauzaji Wengine , Alafu Bidhaa Yako Ya Uchuuzi ipo Kila Sehemu ( Kuna Duka ) ....

Kwa Hiyo Uchuuzi , ikitokea Kuna Mtikisiko Kidogo Tu Wa Uchumi Umekwenda na MAJI
 
Nafanya food production kaka , ya sembe , dona na Unga wa muhogo actually nataka nifahamu kwa ukubwa maana naona hapo monetary policy ndo Chanzo ila nataka kujua zaidi ni nini hasa kinafanya Kote pa bane na wakati kama huu Tufanye nini? Pia nawaza kwa nini sija ona mapema
Upo mkoa wa dar es salaam?
 
Back
Top Bottom