- Thread starter
- #21
Ndio mkuu nipo dar es salaamUpo mkoa wa dar es salaam?
Ndio mkuu nipo dar es salaamUpo mkoa wa dar es salaam?
Bidhaa za kuuza nchi Zima, hizi za chakula uongo , labda uwe na mtaji mkubwa sana na ufungue branch za kutosha , ili scale yako ya mauzo Iwe kubwa afu pia hata hao wateja hawa malizi mzigo kwa wakati pia nao mizigo haitokiUkiwa Unazalisha Huduma / Bidhaa unakuwa Na Wateja Wengi kwasababu Unakuwa Unaweza Kuuza Nchi Nzima .....
Kwa hiyo , Ukiwa MCHUUZI Unakuwa Na Vita Kubwa Na Wauzaji Wengine , Alafu Bidhaa Yako Ya Uchuuzi ipo Kila Sehemu ( Kuna Duka ) ....
Kwa Hiyo Uchuuzi , ikitokea Kuna Mtikisiko Kidogo Tu Wa Uchumi Umekwenda na MAJI
Kweli mkuu wazo ni Zuri na hisi kwa sasa focus iwe kwenye kuweka stock ya kutosha na kupunguza matumiziDaa kazi kweli nilijua ni Mimi kumbe tuko wengi Cha muhimu ni kulinda mitaji mauzo yakiwa chini kuwa makini pia na matumizi yako na malengo yako kwangu Mimi huwa nabana matumizi sana na Ile pesa unayouza ni ndogo sasa ukiwa unauza na ukianza kuingiza kwenye matumizi nje ya biashara utafeli itafika mda mzigo huna na pesa huna Cha muhimu kama unaipata ikiwa ndogo iweke kwenye mzunguko huo huo wa biashara Iwe inazunguka na mzunguko huo mdogo
Nchi ikirudi kua stable stable kisiasa you will see check marekean kipindi cha uchaguzi na sasa kama unafutilia economic news utakua unanielewaKwaiyo uchaguzi ukiisha ndo biashara zitawaka au
Me nipo kitundaHii week yaani toka alhamis Hali tete.ilianza vizuri Tu yaani
Uko wapi jirani
Niko mtaa wa m hapa
Njoo tufarijiane
Hata mimi wiki ya 2dah kumbe kila sehemu?, mimi nina wiki ya pili hapa nimevurugika kisawasawa
Hata mimi wiki ya 2
Kama unaweza kuuza ndani ya mkoa wa dar es salaam popote pale unaweza jitangaza kwenye facebook unalipia tangazo, Mimi nitakusaidia kutengeneza tangazo la kuvutia wateja pamoja kusimamia akaunti ya matangazo kwa mwezi mmoja kila kitu utanipa 50,000 Tsh, nicheki 0756704145Ndio mkuu nipo dar es salaam
Una Maanisha Nini kusema Bidha za Chakula ngumu .......Bidhaa za kuuza nchi Zima, hizi za chakula uongo , labda uwe na mtaji mkubwa sana na ufungue branch za kutosha , ili scale yako ya mauzo Iwe kubwa afu pia hata hao wateja hawa malizi mzigo kwa wakati pia nao mizigo haitoki
Poa kaka ntakuchekKama unaweza kuuza ndani ya mkoa wa dar es salaam popote pale unaweza jitangaza kwenye facebook unalipia tangazo, Mimi nitakusaidia kutengeneza tangazo la kuvutia wateja pamoja kusimamia akaunti ya matangazo kwa mwezi mmoja kila kitu utanipa 50,000 Tsh, nicheki 0756704145
Acha na kfc , hebu tumia mfano huuUna Maanisha Nini kusema Bidha za Chakula ngumu .......
Kwa hujui kama Kuna Njia za Biashara , na Ukapata Faida ( Pesa ) kibao ...
Mfano , KFC si Anauza Chakula Vipi Mbona Anatengeneza faida Kibao .....
Kabisa mkuu Bora ukose pesa mfukoni mali uwe nayo ya kutoshaKweli mkuu wazo ni Zuri na hisi kwa sasa focus iwe kwenye kuweka stock ya kutosha na kupunguza matumizi
Baishara hamna ku complain bro expand ur skills na ukomavu wa fikra zakoChangamoto ya mauzo imekuwa kubwa sana Chanzo nini na pia kama mfanyabiashara nini unatakiwa kufanya kwa kipindi hiki cha purchasing power ya wateja kuwa chini.
Pia timing nzuri ya biashara na maanisha jinsi ya kuwin kwa season inayofata
MAJUBU YA JIKITE KWENYE UZOEFU
Naona Unanichagulia Mifano ....Acha na kfc , hebu tumia mfano huu
Wewe una machine ya kukoboa mpunga kilombelo na una Pack mchele kwenye kg 25 au 50 ,
Haya uuze tanzania nzima sasa
Jibu kwa mfano huo