Biashara gani unafanya? Nikupe ushauriChangamoto ya mauzo imekuwa kubwa sana Chanzo nini na pia kama mfanyabiashara nini unatakiwa kufanya kwa kipindi hiki cha purchasing power ya wateja kuwa chini.
Pia timing nzuri ya biashara na maanisha jinsi ya kuwin kwa season inayofata
MAJUBU YA JIKITE KWENYE UZOEFU
😁😁😁😁😁Kumbe sehemu zote dah me nikajua kwangu
Siasa season effectChangamoto ya mauzo imekuwa kubwa sana Chanzo nini na pia kama mfanyabiashara nini unatakiwa kufanya kwa kipindi hiki cha purchasing power ya wateja kuwa chini.
Pia timing nzuri ya biashara na maanisha jinsi ya kuwin kwa season inayofata
MAJUBU YA JIKITE KWENYE UZOEFU
Me nimewaza nihamishe goli naona tu naenda kuchezea wi fi hamna kaziMe nikajua nimeshalogwa .huu mwezi mgumu sio poa jamani
Hii week yaani toka alhamis Hali tete.ilianza vizuri Tu yaaniMe nimewaza nihamishe goli naona tu naenda kuchezea wi fi hamna kazi
Nafanya food production kaka , ya sembe , dona na Unga wa muhogo actually nataka nifahamu kwa ukubwa maana naona hapo monetary policy ndo Chanzo ila nataka kujua zaidi ni nini hasa kinafanya Kote pa bane na wakati kama huu Tufanye nini? Pia nawaza kwa nini sija ona mapemaBiashara gani unafanya? Nikupe ushauri
Kwaiyo uchaguzi ukiisha ndo biashara zitawaka auUnaishi dunia gani bro? Hujui hichi ndio kipindi watu wanaficha ela mzee uchaguzi kesho kutwa watu nametoka kufunga mahesabu ya mwaka TRA wako na wewe hapo nyuma kama mkia alafu uku uchaguzi na bado watu wanatafuta wadhamini 100 b zipatikane mzee watu wanaficha ela now tutaqnza kufunguka mwakani after pasaka amin nakiambia
Ulijua umelogwa nn hahahaKumbe sehemu zote dah me nikajua kwangu
Upo mkoa wa dar es salaam?Nafanya food production kaka , ya sembe , dona na Unga wa muhogo actually nataka nifahamu kwa ukubwa maana naona hapo monetary policy ndo Chanzo ila nataka kujua zaidi ni nini hasa kinafanya Kote pa bane na wakati kama huu Tufanye nini? Pia nawaza kwa nini sija ona mapema