Kwanini mauzo ya biashara yamepungua mwezi Agosti? Kipi kifanyike?

Bidhaa za kuuza nchi Zima, hizi za chakula uongo , labda uwe na mtaji mkubwa sana na ufungue branch za kutosha , ili scale yako ya mauzo Iwe kubwa afu pia hata hao wateja hawa malizi mzigo kwa wakati pia nao mizigo haitoki
 
Daa kazi kweli nilijua ni Mimi kumbe tuko wengi Cha muhimu ni kulinda mitaji mauzo yakiwa chini kuwa makini pia na matumizi yako na malengo yako kwangu Mimi huwa nabana matumizi sana na Ile pesa unayouza ni ndogo sasa ukiwa unauza na ukianza kuingiza kwenye matumizi nje ya biashara utafeli itafika mda mzigo huna na pesa huna Cha muhimu kama unaipata ikiwa ndogo iweke kwenye mzunguko huo huo wa biashara Iwe inazunguka na mzunguko huo mdogo
 
Kweli mkuu wazo ni Zuri na hisi kwa sasa focus iwe kwenye kuweka stock ya kutosha na kupunguza matumizi
 
Ndio mkuu nipo dar es salaam
Kama unaweza kuuza ndani ya mkoa wa dar es salaam popote pale unaweza jitangaza kwenye facebook unalipia tangazo, Mimi nitakusaidia kutengeneza tangazo la kuvutia wateja pamoja kusimamia akaunti ya matangazo kwa mwezi mmoja kila kitu utanipa 50,000 Tsh, nicheki 0756704145
 
Bidhaa za kuuza nchi Zima, hizi za chakula uongo , labda uwe na mtaji mkubwa sana na ufungue branch za kutosha , ili scale yako ya mauzo Iwe kubwa afu pia hata hao wateja hawa malizi mzigo kwa wakati pia nao mizigo haitoki
Una Maanisha Nini kusema Bidha za Chakula ngumu .......

Kwa hujui kama Kuna Njia za Biashara , na Ukapata Faida ( Pesa ) kibao ...

Mfano , KFC si Anauza Chakula Vipi Mbona Anatengeneza faida Kibao .....
 
Poa kaka ntakuchek
 
Acha na kfc , hebu tumia mfano huu
Wewe una machine ya kukoboa mpunga kilombelo na una Pack mchele kwenye kg 25 au 50 ,
Haya uuze tanzania nzima sasa
Jibu kwa mfano huo
 
Baishara hamna ku complain bro expand ur skills na ukomavu wa fikra zako
 
Acha na kfc , hebu tumia mfano huu
Wewe una machine ya kukoboa mpunga kilombelo na una Pack mchele kwenye kg 25 au 50 ,
Haya uuze tanzania nzima sasa
Jibu kwa mfano huo
Naona Unanichagulia Mifano ....

Mimi nakupa Mfano wa AZAM Anauza UNGA wa Mahindi Nchi nzima .... Vipi Anapiga Hela kibao.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…