MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,281
- 1,251
swali lako lina loguc sanaWadau naomba kujua kwanini waliokufa kwa ajali ya ndege huko Bukoba jana, mazishi yao yanagharamiwa na Serikali. Mbona wanaokufa na treni, mabasi, boti hayagharamiwagi na Serikali?
Mwenye ujuzi atujuze...
Ikitokea majeneza yao hutengenezwa kwa reject woodWadau naomba kujua kwanini waliokufa kwa ajali ya ndege huko Bukoba jana, mazishi yao yanagharamiwa na Serikali. Mbona wanaokufa na treni, mabasi, boti hayagharamiwagi na Serikali?
Mwenye ujuzi atujuze...
Mpaka kulikuwa na salamu za chama CCM [emoji706][emoji706][emoji706]
Na tena huwa wanatangaza kana kwamba ni kitu kikubwa wanafanya.
hapo utasikia wale wa ajali ya ndege kuna walipakodi wengi wazuri,halafu wale Mv Ukara utasikia si walipa kodi wazuri wa serikali,nawaza lakiniHata ajali ya MV ukara mazishi yaligharamikiwa na serikali lakini majeneza yalikua na quality ndogo ukilinganisha na ya leo.
Nikirudi kwenye swali lako: SIASA ni kujua kwenda na upepo
Hiyo ajali imeivua nguo serikali kimataifa kwenye nyanja ya uokozi, hapo wanafunika kombe mwanaharamu apiteWadau naomba kujua kwanini waliokufa kwa ajali ya ndege huko Bukoba jana, mazishi yao yanagharamiwa na Serikali. Mbona wanaokufa na treni, mabasi, boti hayagharamiwagi na Serikali?
Mwenye ujuzi atujuze...