Godman
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 423
- 650
Hili swali hata mimi nililifikiria muda fulani.Wadau naomba kujua kwanini waliokufa kwa ajali ya ndege huko Bukoba jana, mazishi yao yanagharamiwa na Serikali. Mbona wanaokufa na treni, mabasi, boti hayagharamiwagi na Serikali?
Mwenye ujuzi atujuze...