PoliticsWadau naomba kujua kwanini waliokufa kwa ajali ya ndege huko Bukoba jana, mazishi yao yanagharamiwa na Serikali. Mbona wanaokufa na treni, mabasi, boti hayagharamiwagi na Serikali?
Mwenye ujuzi atujuze...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PoliticsWadau naomba kujua kwanini waliokufa kwa ajali ya ndege huko Bukoba jana, mazishi yao yanagharamiwa na Serikali. Mbona wanaokufa na treni, mabasi, boti hayagharamiwagi na Serikali?
Mwenye ujuzi atujuze...
MhhNi kwasababu serikali imewaua kwa uzembe.
But it is unfairAjali za ndege ni nadra sana hivyo kuna public attention.Ajali za magari ni kila mara just simple logic.
Na ujue ajali ya ndege inagusa hadi mataifa ya nje hii habari unaweza kuta imeandikwa na mataifa hata makubwa.
Lakini basi la Kitengule linaongelewa kitaifa tu.
Zaidi ya yote mashirika yanayotengeneza hizi ndege na yenyewe yanahaha kujaribu kuona kama kuna hitlafu warekebishe.
Serikali ya Ufaransa itatuma timu ya wataalamu kuchunguza ila huwezi sikia basi la Kitengule watume wataalamu.
Kivipi?Politics
it is unfair but that is how it is ajali za magari ni kila siku.Kuna shirika la kimataifa linaitwa IATA la mambo ya anga huwezi rusha ndege juu au uwe rubani bila kuwa na kibali chao je umeshawahi sikia shirika la mabasi la kidunia?But it is unfair
Nauli za Wasafiri wa Mabasi ( Tsh 15,000 hadi 75,000 ) hazitoshi hata tu kutoa Advance kwa Fundi Mtengeneza Majeneza yao, ila za Wasafiri wa Ndege ( Tsh 375,000 hadi 1,300,000 ) zinatosha kabisa na hata Chenji kubakia.Wadau naomba kujua kwanini waliokufa kwa ajali ya ndege huko Bukoba jana, mazishi yao yanagharamiwa na Serikali. Mbona wanaokufa na treni, mabasi, boti hayagharamiwagi na Serikali?
Mwenye ujuzi atujuze...
Sasa serikali kwanini isiwajibike kwenye uokoziAjali za ndege zina attract international attention kwa hivyo serekali lazima ionekane. Inawajibika hizi za mabasi ni too local
DuhNauli za Wasafiri wa Mabasi ( Tsh 15,000 hadi 75,000 ) hazitoshi hata tu kutoa Advance kwa Fundi Mtengeneza Majeneza yao, ila za Wasafiri wa Ndege ( Tsh 375,000 hadi 1,300,000 ) zinatosha kabisa na hata Chenji kubakia.
Ni sawa kabisa hakuna ubaya hapoWametumia sehemu ya msiba huo kutoa matamko ya kiserikali