Hili swali hata mimi nililifikiria muda fulani.Wadau naomba kujua kwanini waliokufa kwa ajali ya ndege huko Bukoba jana, mazishi yao yanagharamiwa na Serikali. Mbona wanaokufa na treni, mabasi, boti hayagharamiwagi na Serikali?
Mwenye ujuzi atujuze...
Kigezo kwa hawa tu ni nini? Kwanini wengine huachwa?Nakumbukua walifariki kwenye Ajali ya moto, Morogoro walizikwa na Serikali, Ajali ya Mtwara, Serikali, Arusha wale watoto waligharamia na Serikali.
Acha ujinga wa kishamba, kama ukoo wenu hakuna mwenye uwezo wa kupanda ndege basi endelea kukejeli hao waliofariki.Waliofariki wengi wana kadi za mataga dot com
Aisee!Kwa sababu ajali za ndege ni kitu nadra sana kiasi kinaleta public attention kubwa, hivyo wanapata kiki ya bure bure,
Uchaguzi umeshaanza.Albino naye Shinyanga huko wamemmalizaUnafiki utawatesa milele. Wanapenda sana kuonekana kwenye matukio ya aina hiyo, huku wakitoa matamko 100, halafu utekelezaji ni 0.
Tuliza tupu yako.Acha ujinga wa kishamba, kama ukoo wenu hakuna mwenye uwezo wa kupanda ndege basi endelea kukejeli hao waliofariki.
Ajali za ndege zina attract international attention kwa hivyo serekali lazima ionekane. Inawajibika hizi za mabasi ni too localWadau naomba kujua kwanini waliokufa kwa ajali ya ndege huko Bukoba jana, mazishi yao yanagharamiwa na Serikali. Mbona wanaokufa na treni, mabasi, boti hayagharamiwagi na Serikali?
Mwenye ujuzi atujuze...
Mazingira ya Ajali, idadi ya wahanga, nk. Mfano watoto, watu wengi kwa pamoja nk.Kigezo kwa hawa tu ni nini? Kwanini wengine huachwa?
Mbona huulizi kwanini serikali hainunui mabasi ya abiria ila inanunua ndege?Wadau naomba kujua kwanini waliokufa kwa ajali ya ndege huko Bukoba jana, mazishi yao yanagharamiwa na Serikali. Mbona wanaokufa na treni, mabasi, boti hayagharamiwagi na Serikali?
Mwenye ujuzi atujuze...