jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Waafrika asili ni weusi. Ila bara letu la Afrika limetawaliwa sana na mataifa ya wazungu na waarabu . Hawa ndio wamechangia kuongeza vionjo vya rangi za Waafrika. Sehemu nyingi nchini/wilaya ambazo wamisionari, makanisa ya mwanzo, wagiriki, wahindi, wachina na waarabu wameishi au kupita utakuta waafrika wenye vionjo vya rangi mbalimbali ambazo siyo za asili- hii ndiyo Afrika yetu. WaTanzania hatuna kawaida ya kuringia au kuulizana rangi ya mtu. Huu ushamba wa kuulizana rangi unatoka wapi? Inatukumbusha ukoloni ambambo watu waliwekwa kwenye tabaka fulani kutokana na rangi ya ngozi yao.Niko mbeya kwa muda sijaona mtu mweupe wala maji ya kunde.
Ukiona mwanamke mweupe ujue mkorogo umehusika
Ukiwauliza wanasema sababu ya baridi.
Mbona Kushoto na Arusha kuna baridi na watu ni weupe ?na ulaya je wasemeje?
Tupeni sababu za kisayansi.
Umeanza vizuri kisayansi ukamalizia kisiasa.lazima ujue umetoka wapi uko wapi na kwa nini upo hapo kama ulivyo,kuna watu weusi USA lazima ujue walitoka wapi,kuna weusi australia ,india nk.kujua asili yao sio dhambi ndio elimuWaafrika asili ni weusi. Ila bara letu la Afrika limetawaliwa sana na mataifa ya wazungu na waarabu . Hawa ndio wamechangia kuongeza vionjo vya rangi za Waafrika. Sehemu nyingi nchini/wilaya ambazo wamisionari, makanisa ya mwanzo, wagiriki, wahindi, wachina na waarabu wameishi au kupita utakuta waafrika wenye vionjo vya rangi mbalimbali ambazo siyo za asili- hii ndiyo Afrika yetu. WaTanzania hatuna kawaida ya kuringia au kuulizana rangi ya mtu. Huu ushamba wa kuulizana rangi unatoka wapi? Inatukumbusha ukoloni ambambo watu waliwekwa kwenye tabaka fulani kutokana na rangi ya ngozi yao.
Elimu isiyo na manufaa ipuuzwe.Umeanza vizuri kisayansi ukamalizia kisiasa.lazima ujue umetoka wapi uko wapi na kwa nini upo hapo kama ulivyo,kuna watu weusi USA lazima ujue walitoka wapi,kuna weusi australia ,india nk.kujua asili yao sio dhambi ndio elimu
AhaaaElimu isiyo na manufaa ipuuzwe.
Kasimame njiapanda ya uhindini na uzunguni pale kwenye kanisa la Anglikani utawaona watu weupe.Niko mbeya kwa muda sijaona mtu mweupe wala maji ya kunde.
Ukiona mwanamke mweupe ujue mkorogo umehusika
Ukiwauliza wanasema sababu ya baridi.
Mbona Lushoto na Arusha kuna baridi na watu ni weupe ?na ulaya je wasemeje?
Tupeni sababu za kisayansi.
Makatapera , mafyulisi na kambani ndio sababuNiko mbeya kwa muda sijaona mtu mweupe wala maji ya kunde.
Ukiona mwanamke mweupe ujue mkorogo umehusika
Ukiwauliza wanasema sababu ya baridi.
Mbona Lushoto na Arusha kuna baridi na watu ni weupe ?na ulaya je wasemeje?
Tupeni sababu za kisayansi.
unawakika unachongea au unaropoka dem wa mbeya amekuacha?? Mm nina ma dem3 wa nyakyusa wa mbeya niweupe htr ten wa asiliNiko mbeya kwa muda sijaona mtu mweupe wala maji ya kunde.
Ukiona mwanamke mweupe ujue mkorogo umehusika
Ukiwauliza wanasema sababu ya baridi.
Mbona Lushoto na Arusha kuna baridi na watu ni weupe ?na ulaya je wasemeje?
Tupeni sababu za kisayansi.
Hongera wamekupunguzia gharama ya mkorogounawakika unachongea au unaropoka dem wa mbeya amekuacha?? Mm nina ma dem3 wa nyakyusa wa mbeya niweupe htr ten wa asili
Kama wewe ni mweupe basi mimi ni mwekundu. Ukiona mnyakyusa mweupe basi ujue mama alichepuka...Mimi mweupe mbona?
Hao ujue baba zao sio wanyakyusa....unawakika unachongea au unaropoka dem wa mbeya amekuacha?? Mm nina ma dem3 wa nyakyusa wa mbeya niweupe htr ten wa asili
Ni kama mfalme ZumaridiBahati bukuku alikuwa mweusi tii album ya kwanza sasa hivi ni mzungu pori .usiwaamini sana wasanii
wote baba zao niwanyakyusa wa mwakaleliHao ujue baba zao sio wanyakyusa....
Na huwezi kumpiga kofi ,yananguvu kama madume,ukizingua useme mpigane anakupiga.Halafu mwanamke wa Mbeya huwa hadumu kwenye ndoa sababu ya ujuaji, na hawataki kujishusha hata aharibu vipi. Hivyo ukioa Mbeya ujue utakaliwa kichwani au muishi as per yaaani lakini sio eti ulete ile dhana ya Mume ni Kichwa